Na Rajab Mkasaba, Ikulu Zanzibar WIZARA ya Afya imeeleza hatua zilizofikiwa na zinazoendelea kuchukuliwa katika kutekeleza azma ya kuifanya hospitali kuu ya Mnazi Mmoja kuwa…
Continue Reading....Category: Habari za Nyumbani
Yahitajika mikakati ya kuepuka ndoa za kitapeli
Na Mwandishi Wetu VIONGOZI wa makanisa wanapaswa kubuni mbinu za kubaini waumini walio katika ndoa ambao wanadanganya na kufunga ndoa nyingine kwa siri, hali inayohatarisha…
Continue Reading....Tanzania yaihitaji muda kunufaika na Mtangamano wa EAC-Makinda
Na James Gashumba, EANA-Kigali SPIKA wa Bunge la Tanzania, Anne Makinda amesema Tanzania inahitaji muda zaidi wa kujipanga ili kujikita kikamilifu katika mtangamano wa Jumuiya…
Continue Reading....Mkuki na Nyota Wazindua Kitabu cha Kemia cha Kiswahili
Na Joachim Mushi KAMPUNI ya Uchapishaji wa Vitabu na machapisho anuai kwa mara ya kwanza imezindua kitabu cha somo la Kemia kilichochapishwa kwa lugha nyepesi…
Continue Reading....Uhaba wa madarasa kero kwa wanafunzi na walimu Namtumbo
Na Vicent Mnyanyika, HakiElimu-Namtumbo UHABA wa vyumba vya madarasa ni moja ya changamoto kubwa inayoikabili sekta ya elimu Wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma hali inayosababisha…
Continue Reading....Manispaa ya Musoma kufikishwa Mahakamani
Na Shomari Binda wa Binda News-Musoma WANANCHI wa Kata ya Bweri katika eneo la Rwamlimi wamekusudia kuifikisha Mahakamani Halimashauri ya Manispaa ya Musoma kwa kile…
Continue Reading....