Na Mwandishi Wetu, Washington DC NCHI ya Tanzania sasa imepata uwakilishi katika Bunge la Marekani baada ya kujitokeza mbunge mwenye mapenzi mema na Tanzania na…
Continue Reading....Category: Habari za Nyumbani
Mhariri Rachel Mwiligwa wa Gazeti la Mtanzania afariki dunia
CHAMA cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA) kinaungana na familia na wanahabari wote nchini kuomboleza kifo cha Mhariri wa Habari za Michezo wa…
Continue Reading....Mwili wa Marehemu Rhode P. Muze wasafirishwa kwenda Usangi kwa mazishi
MWILI wa marehemu Rhode Philipo Muze umesafirishwa jana kuelekea Usangi Mwanga mkoani Kilimanjaro tayari kwa mazishi yatakayofanyika Ijumaa ya Mai 12, 2012 saa tisa kijijini…
Continue Reading....Wanaume wazikimbia familia kwa kisingizio cha ugumu wa maisha
Na Joachim Mushi, Handeni BAADHI ya wanaume wamelazimika kuzikimbia familia zao kwa kisingizio cha ugumu wa maisha. Wanaume hao wamezitelekeza familia hizo na kuziacha na…
Continue Reading....Madiwani wamkataa Mkuu wa Wilaya wa Tarime
Na Shomari Binda Tarime SIKU moja baada ya kuteuliwa kwa wakuu wa Wilaya, madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Tarime wamemkataa Mkuu wa Wilaya ya…
Continue Reading....