Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 674

Category: Habari za Nyumbani

Clouds Media Group Yazindua Msimu Mpya kwa Kishindo Dodoma, Yafanya Semina Kupinga Uharamia…!

Posted on: May 11, 2013 - jomushi
Clouds Media Group Yazindua Msimu Mpya kwa Kishindo Dodoma, Yafanya Semina Kupinga Uharamia…!

  Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kaskazini, Mh. Zitto Kabwe ambae pia ni mdau kubwa wa Muziki hapa chnini,pia alikuwa ni mmoja wa wazungumzaji kwenye…

Continue Reading....

UAE Yasema Ipo Tayari Kuisaidia Hospitali ya Mnazi Mmoja Zanzibar

Posted on: May 11, 2013 - jomushi
UAE Yasema Ipo Tayari Kuisaidia Hospitali ya Mnazi Mmoja Zanzibar

Na Said Ameir, Ikulu Zanzibar   SERIKALI ya Falme za Kiarabu (UAE) iko tayari kusaidia kuimarisha hospitali kuu ya Mnazi Mmoja ili iweze kutoa huduma bora…

Continue Reading....

Multichoice Tanzania Kusambaza Digitali Shule za Msingi Tanzania

Posted on: May 11, 2013 - jomushi
Multichoice Tanzania Kusambaza Digitali Shule za Msingi Tanzania

Meneja Uhusiano wa MultiChoice Tanzania, Barbara Kambogi  akiwakaribisha wageni wanahabari katika hafla mchapalo ya kusheherekea Africa Day na Dstv ambapo amesema DStv inatoa nafasi kwa…

Continue Reading....

Jamii Information Network Kuwakutanisha Wanafunzi Musoma

Posted on: May 11, 2013 - jomushi
Jamii Information Network Kuwakutanisha Wanafunzi Musoma

TAASISI ya kuhamasisha maendeleo na mawasiliano katika jamii yenye makao yake mjini Musoma mkoani Mara ya JAMII INFORMATION NETWORK inatarajia kufanya Kongamano kubwa litakalo wahusisha Wanafunzi…

Continue Reading....

Serikali Kuwashughulikia Wachochezi – Mizengo Pinda

Posted on: May 11, 2013 - jomushi
Serikali Kuwashughulikia Wachochezi – Mizengo Pinda

WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema Serikali ina kazi kubwa ya kushughulika na kundi dogo inalojihusisha na lugha za uchochezi wa kidini ambao unachangia kudhoofisha amani…

Continue Reading....

Misamaha Itolewe kwa Wahusika – Serikali

Posted on: May 11, 2013May 11, 2013 - jomushi
Misamaha Itolewe kwa Wahusika – Serikali

Na Magreth Kinabo – Maelezo, Dodoma   SERIKALI imewaagiza watendaji na wananchi kupitia kamati zao za afya kuhakikisha misamaha inatolewa kwa wote wanaostahili. Aidha imesema…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari