Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 668

Category: Habari za Nyumbani

Rais Kikwete Akutana na Kiongozi wa Kanisa Anglikana Duniani

Posted on: May 20, 2013 - jomushi
Rais Kikwete Akutana na Kiongozi wa Kanisa Anglikana Duniani

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete Mei 18, 2013, alikutana na kufanya mazungumzo na Kiongozi wa Kanisa Anglikana Duniani, Askofu Mkuu…

Continue Reading....

Rais Kikwete Atuma Rambirambi Kifo cha Ali Abdallah Kleist Sykes

Posted on: May 20, 2013 - jomushi
Rais Kikwete Atuma Rambirambi Kifo cha Ali Abdallah Kleist Sykes

Na Mwandishi Maalum RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete amepokea kwa majonzi makubwa taarifa za kifo cha Mzee Ali Abdallah Kleist…

Continue Reading....

Rais Kikwete Asema Mifuko ya Hifadhi ya Jamii ni Salama

Posted on: May 20, 2013 - jomushi
Rais Kikwete Asema Mifuko ya Hifadhi ya Jamii ni Salama

Na Mwandishi Maalum, Dodoma RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete amewahakikishia Watanzania kuwa mifuko yote ya hifadhi ya jamii nchini ni…

Continue Reading....

Afande wa Magereza Anusurika Kipigo Akilawiti

Posted on: May 20, 2013 - jomushi
Afande wa Magereza Anusurika Kipigo Akilawiti

ASKARI magereza mwenye cheo cha Koplo amenusurika kipigo kutoka kwa wananchi wenye hasira baada ya kubainika kuwalawiti kwa siku moja vijana wawili wa kiume wenye…

Continue Reading....

Gari la Ofisa wa Polisi Arusha Lakamatwa na Magunia 18 ya Bangi

Posted on: May 20, 2013May 20, 2013 - jomushi
Gari la Ofisa wa Polisi Arusha Lakamatwa na Magunia 18 ya Bangi

GARI aina ya Toyota Landcruiser linalotumiwa na Mkuu wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU), Mkoa wa Arusha, lilikamatwa juzi mjini Moshi likiwa limesheheni magunia 18…

Continue Reading....

Vurugu Kubwa Iringa, Mchungaji Msigwa na Wengine 50 Mbaroni

Posted on: May 20, 2013 - jomushi
Vurugu Kubwa Iringa, Mchungaji Msigwa na Wengine 50 Mbaroni

MJI wa Iringa uligeuka kuwa uwanja wa vita kati ya polisi wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU) na wafanyabiashara jana asubuhi. Watu 50 walikamatwa kutokana…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari