Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 667

Category: Habari za Nyumbani

Raia Waachwa Nje ya Mchakato wa Mtangamano wa EAC-Utafiti

Posted on: May 22, 2013 - jomushi
Raia Waachwa Nje ya Mchakato wa Mtangamano wa EAC-Utafiti

Na Mtuwa Salira, EANA Arusha MATOKEI ya kwanza ya utafiti juu ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) umeonyesha kwamba jumuiya hiyo iliundwa kama chombo kilichoandaliwa…

Continue Reading....

CCM Yawaonya Makada Wake Uchaguzi Mkuu Ujao

Posted on: May 22, 2013 - jomushi
CCM Yawaonya Makada Wake Uchaguzi Mkuu Ujao

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimewaonya na kuwapiga marufuku, makada na wanachama wake wenye nia ya kuwania nafasi mbalimbali katika uchaguzi mkuu ujao, kutothubutu kuanza kujipitipitisha…

Continue Reading....

Polisi Wadai Ujumbe wa Simu Aliotumiwa Lema na RC Umetoka Nje

Posted on: May 22, 2013 - jomushi
Polisi Wadai Ujumbe wa Simu Aliotumiwa Lema na RC Umetoka Nje

Na Mwandishi Wetu, Arusha   JESHI la Polisi mkoani hapa, limedai kuwa ujumbe mfupi wa maandishi aliodai kutumiwa Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema umetumwa…

Continue Reading....

Msigwa Afikishwa Mahakamani Iringa kwa Uchozizi, Aachiwa kwa Dhamana…!

Posted on: May 21, 2013May 21, 2013 - jomushi
Msigwa Afikishwa Mahakamani Iringa kwa Uchozizi, Aachiwa kwa Dhamana…!

SAKATA la vurugu za machinga na Polisi mjini Iringa limechukua sura mpya baada ya Jeshi la Polisi Mkoa wa Iringa kumfikisha mahakamani mbunge wa Jimbo la Iringa mjini mchungaji,…

Continue Reading....

Mzee Ally Kleist Sykes Azikwa Makaburi ya Kisutu Dar

Posted on: May 20, 2013 - jomushi
Mzee Ally Kleist Sykes Azikwa Makaburi ya Kisutu Dar

Continue Reading....

Watumishi wa Serikali Kukopeshwa Nyumba Kuanzia Septemba 2013

Posted on: May 20, 2013 - jomushi
Watumishi wa Serikali Kukopeshwa Nyumba Kuanzia Septemba 2013

WATUMISHI wa Serikali, kwa mara ya kwanza katika historia ya Tanzania, kuanzia Septemba mwaka huu wataanza kunufaika na mikopo nafuu ya ujenzi wa nyumba za…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari