Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 657

Category: Habari za Nyumbani

Sitanyamazia Kushambuliwa Kwangu – Absalom Kibanda

Posted on: June 5, 2013 - jomushi
Sitanyamazia Kushambuliwa Kwangu – Absalom Kibanda

MWENYEKITI wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Absalom Kibanda amerejea chini jana kutoka Afrika Kusini alikokuwa akitibiwa na kusisitiza kwamba hatanyamaza kuzungumzia janga la kushambuliwa…

Continue Reading....

Katiba Mpya Tanzania Bara Yanukia

Posted on: June 5, 2013June 5, 2013 - jomushi
Katiba Mpya Tanzania Bara Yanukia

WAZIRI wa Katiba na Sheria, Mathias Chakawe amesema upo uwezekazo wa Katiba Mpya ya Tanzania Bara ikapatikana kabla ya Uchaguzi Mkuu wa 2015. Chikawe alizungumza…

Continue Reading....

Rasimu ya Katiba Mpya ya Tanzania

Posted on: June 4, 2013 - jomushi
Rasimu ya Katiba Mpya ya Tanzania

i ______ TAARIFA _______ Toleo la Rasimu ya Katiba limechapishwa kwenye Gazeti la Serikali kwa mujibu wa kifungu cha 18(5) cha Sheria ya Mabadiliko ya…

Continue Reading....

Tendwa Akipa Usajili wa Kudumu Chama Kipya cha 21, CHAUMMA

Posted on: June 4, 2013 - jomushi
Tendwa Akipa Usajili wa Kudumu Chama Kipya cha 21, CHAUMMA

Na Joachim Mushi MSAJILI wa Vyama vya Siasa nchini, John Tendwa amekipa usajili wa kudumu Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) huku akivitaka vyama vya…

Continue Reading....

Rasimu ya Katiba Mpya Yakamilika, Tanzania Mpya Yaja

Posted on: June 4, 2013 - jomushi
Rasimu ya Katiba Mpya Yakamilika, Tanzania Mpya Yaja

TUME ya Mabadiliko ya Katiba jana ilizindua rasimu ya Katiba Mpya inayopendekeza kuwapo kwa mabadiliko makubwa kwenye mfumo wa utawala, yakiwamo ya kuwa na Serikali…

Continue Reading....

Bajeti ya EAC Yapungua kwa Dola Milioni 10

Posted on: June 3, 2013 - jomushi
Bajeti ya EAC Yapungua kwa Dola Milioni 10

Na James Gashumba, EANA MAKADIRIO ya bajeti ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) iliyowasilishwa mwishoni mwa wiki kwa mwaka wa fedha wa 2013/2014 imepunguza matumizi…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari