Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 651

Category: Habari za Nyumbani

Jaji Mark Bomani Ashauri Kura za Maoni Kuamua Muundo wa Serikali

Posted on: June 12, 2013 - jomushi
Jaji Mark Bomani Ashauri Kura za Maoni Kuamua Muundo wa Serikali

Na Belinda Kweka – MAELEZO, DSJ MWANASHERIA Mkuu wa Kwanza mstaafu wa Serikali, Jaji Mark Bomani ametoa wito wa kupingwa kura ya maoni kwa wakazi…

Continue Reading....

Sikika Yaipongeza Bajeti ya Wizara ya Fedha kwa Uwazi

Posted on: June 12, 2013June 14, 2013 - jomushi
Sikika Yaipongeza Bajeti ya Wizara ya Fedha kwa Uwazi

SIKIKA inaipongeza Wizara ya Fedha na Uchumi kwa kuweka vitabu vya bajeti ya mwaka wa fedha 2013/2014 kwenye tovuti yake kwa wakati muafaka. Uamuzi huu…

Continue Reading....

Sherehe za Kuwashukuru Wachangia Damu Juni 14

Posted on: June 12, 2013 - jomushi
Sherehe za Kuwashukuru Wachangia Damu Juni 14

TANZANIA kupitia Mpango wa Damu Salama Tanzania itaungana na nchi nyengine Duniani katika sherehe za Kuwashukuru na kuwatambua Wachangia Damu Duniani siku ya Ijumaa ya…

Continue Reading....

Museveni Awapongeza Mwalimu Nyerere, Karume

Posted on: June 12, 2013 - jomushi
Museveni Awapongeza Mwalimu Nyerere, Karume

Na Mtuwa Salira, EANA RAIS Yoweri Museveni wa Uganda amewaelezea viongozi waanzilishi wa taifa la Tanzania, Mwalimu Julius Nyerere na Shekhe Abeid Karume kuwa walikuwa…

Continue Reading....

Rais Kikwete Auzunishwa na Kifo cha Mzee Timothy Apiyo

Posted on: June 12, 2013 - jomushi
Rais Kikwete Auzunishwa na Kifo cha Mzee Timothy Apiyo

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete amepokea kwa masikitiko na huzuni nyingi taarifa za kifo cha Katibu Mkuu Kiongozi mstaafu, Mzee…

Continue Reading....

CCM Wapinga Mfumo wa Serikali Tatu

Posted on: June 12, 2013 - jomushi
CCM Wapinga Mfumo wa Serikali Tatu

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimepinga muundo wa Muungano wa Serikali tatu unaopendekezwa katika rasimu ya Katiba Mpya iliyotolewa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba mwanzoni…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari