Na Mtuwa Salira, Arusha TIMU ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) ya Waangalizi wa Uchaguzi wa Kenya uliomalizika hivi karibuni inakutana mjini Moshi, mkoani Kilimanjaro…
Continue Reading....Category: Habari za Nyumbani
Kauli ya Rais Kikwete Juu ya Mlipuko wa Bomu Mkutano wa Chadema
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete amepokea kwa mfadhaiko, mshituko na huzuni kubwa taarifa za shambulio la mlipuko lililotokea katika mkutano…
Continue Reading....Serikali Yatangaza Kumpa Milioni 100 Atakayemtaja Aliyerusha Bomu Mkutano wa Chadema
SERIKALI Imetoa kiasi cha fedha sh milioni 100 ambacho itamzawadia mtu atakaye mfichua aliyerusha bomu katika mkutano wa kampeni za udiwani za CHADEMA Mkoani Arusha.…
Continue Reading....Mara Waitikia Wito Siku ya Mchangiaji Damu Duniani
*Benki ya Damu Kanda ya Ziwa Yafurika Michango Na Craig Ferla, Musoma, Mara KUOKOA maisha ya maelfu ya mama zetu na watoto wetu wachanga Tanzania…
Continue Reading....Polisi Yatuma Timu Kuchunguza Bomu Mkutano wa Chadema Arusha
KUFUATIA mlipuko wa bomu uliotokea katika mkutano wa Chama cha demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na kuuwa watu wawili na majeruhi zaidi ya 60 katika mkutano…
Continue Reading....Stars ya Tanzania Yala Kichapo Nyumbani, Yapigwa 4-2 na Ivory Coast
LICHA ya Taifa Stars ya Tanzania kupata goli la mapema zaidi katika mchezo wao wa mechi ya kufuzu kucheza kombe la dunia mwakani nchini Brazil…
Continue Reading....