Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 646

Category: Habari za Nyumbani

Rais Kikwete Afanya Mazungumzo na Wajumbe BADEA

Posted on: June 20, 2013 - jomushi
Rais Kikwete Afanya Mazungumzo na Wajumbe BADEA

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete, Juni 20, 2013, amekutana na kufanya mazungumzo na wajumbe wa Bodi ya Benki ya Kiarabu…

Continue Reading....

Tumepiga Hatua Lakini Mapambano ya Ukimwi Bado – Rais Kikwete

Posted on: June 20, 2013 - jomushi
Tumepiga Hatua Lakini Mapambano ya Ukimwi Bado – Rais Kikwete

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete amesema kuwa Tanzania imepata mafanikio makubwa katika kupambana na ugonjwa wa Ukimwi lakini bado kazi…

Continue Reading....

Ofisi ya Bunge Yamhamishia Nassari Hospitali ya Muhimbili

Posted on: June 20, 2013 - jomushi
Ofisi ya Bunge Yamhamishia Nassari Hospitali ya Muhimbili

MBUNGE wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari amehamishiwa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kwa matibabu zaidi, baada ya kuumizwa kwenye vurugu zilizotokea Kata ya Makuyuni, Wilaya…

Continue Reading....

Wabunge Chadema Wasimulia Mkong’oto wa Rumande

Posted on: June 20, 2013 - jomushi
Wabunge Chadema Wasimulia Mkong’oto wa Rumande

WABUNGE wanne wa Chadema, ambao waliachiwa na polisi kwa dhamana wamesimulia mateso waliyoyapata wakiwa rumande baada ya kukamatwa juzi. Vigogo hao; Mbunge wa Mpanda Mjini…

Continue Reading....

Hospitali ya KKKT Arusha ‘Yaiumbua’ Chadema

Posted on: June 20, 2013 - jomushi
Hospitali ya KKKT Arusha ‘Yaiumbua’ Chadema

Na Shaaban Mdoe na Lilian Joel, Arusha UONGOZI wa hospitali ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) ya Selian jijini Arusha umekanusha vikali taarifa…

Continue Reading....

Mwandishi Channel Ten Afariki Dunia, Kuzikwa Jumamosi Tinde

Posted on: June 20, 2013 - jomushi
Mwandishi Channel Ten Afariki Dunia, Kuzikwa Jumamosi Tinde

Mwandishi Wetu, Shinyanga MWANDISHI wa habari wa Kituo cha Televisheni ya ‘Channel Ten’ Mkoani Shinyanga, Charles Hilila amefariki dunia usiku wa kuamkia jana akiwa amelazwa…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari