Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 625

Category: Habari za Nyumbani

Mama Salma Kikwete Awataka Viongozi wa Dini Kuhubiri Amani

Posted on: July 24, 2013 - jomushi
Mama Salma Kikwete Awataka Viongozi wa Dini Kuhubiri Amani

Na Anna Nkinda  – Maelezo VIONGOZI wa dini nchini wametakiwa kuhubiri amani katika majukwaa yao ili jamii ielewe umuhimu wa kuwepo kwa amani na kuendelea…

Continue Reading....

Wasanii wa Maigizo, Filamu, Muziki, Uchoraji na Ngoma za Asili Dar ‘Wanolewa’…!

Posted on: July 24, 2013 - jomushi
Wasanii wa Maigizo, Filamu, Muziki, Uchoraji na Ngoma za Asili Dar ‘Wanolewa’…!

Picha mbalimbali juu ni baadhi ya wasanii wanaoshiriki Semina ya wasanii wa sanaa za maigizo, filamu, muziki, uchoraji na ngoma za asili jijini Dar es…

Continue Reading....

Uzazi Pasipo Mipango Unavyowatesa Wanawake Kishapu

Posted on: July 23, 2013 - jomushi
Uzazi Pasipo Mipango Unavyowatesa Wanawake Kishapu

Na Joachim Mushi, Kishapu WASUKUMA ni moja ya makabila nchini Tanzania ambayo awali yalishikilia desturi ya familia kuwa na idadi kubwa ya watoto. Familia moja…

Continue Reading....

JK Amteuwa Balozi Lumbanga Kuwa Mwenyekiti Bodi ya Wakurugenzi PPRA

Posted on: July 23, 2013 - jomushi
JK Amteuwa Balozi Lumbanga Kuwa Mwenyekiti Bodi ya Wakurugenzi PPRA

Na Jennifer Chamila – Maelezo RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Kikwete amemteua Balozi Matern Lumbanga kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya…

Continue Reading....

Raia wa Tanzania Walalamikia Pasi za EU

Posted on: July 23, 2013 - jomushi
Raia wa Tanzania Walalamikia Pasi za EU

IMEBAINIKA kuwa balozi za nchi za Ulaya zilizopo nchini Tanzania, zikiwemo balozi za Ujerumani, Ubelgiji, Netherland na nyinginezo zimekuwa zikiweka vikwazo kwa baadhi ya raia…

Continue Reading....

Rais Kikwete, Rais Rajoelina Wazungumza kwa Kina Mgogoro wa Madagascar

Posted on: July 23, 2013 - jomushi
Rais Kikwete, Rais Rajoelina Wazungumza kwa Kina Mgogoro wa Madagascar

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete na Rais wa Serikali ya Mpito ya Madagascar, Andry Rajoelina Julai 22, 2013 wamekutana kwa…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari