Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 624

Category: Habari za Nyumbani

Benki ya Dunia Yaipa Changamoto Afrika Kuondoa Umasikini

Posted on: July 25, 2013 - jomushi
Benki ya Dunia Yaipa Changamoto Afrika Kuondoa Umasikini

BENKI ya Dunia imetoa changamoto kwa nchi za Afrika kuhimiza maendeleo endelevu ya ardhi ili kupunguza umaskini na kujiletea maendeleo. Ripoti ya Benki hiyo iliyotolewa…

Continue Reading....

Dereva wa Pikipiki Rombo Afariki Katika Ajali

Posted on: July 25, 2013July 25, 2013 - jomushi
Dereva wa Pikipiki Rombo Afariki Katika Ajali

Yohane Gervas, Rombo MTU mmoja aliyefahamika kwa jina la Siprian Kiwango, mwenye umri kati ya miaka 60-70 mkazi wa Shimbi amefariki dunia papo hapo baada…

Continue Reading....

Mtoto Afichua Siri ya Polisi Kuua Baba Yake

Posted on: July 25, 2013 - jomushi
Mtoto Afichua Siri ya Polisi Kuua Baba Yake

*Familia yachachamaa yataka uchunguzi huru KUNDI la polisi wasiojulikana kwa mara nyingine wameendelea kulipaka matope jeshi hilo baada ya kutajwa kuhusika katika mauaji mengine ya…

Continue Reading....

Sitta Amtaka CAG Achunguze Ufisadi wa Shs Bilioni 8 Ujio wa Marais

Posted on: July 25, 2013 - jomushi
Sitta Amtaka CAG Achunguze Ufisadi wa Shs Bilioni 8 Ujio wa Marais

WAZIRI wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta ametaka Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), ichunguze kashfa ya matumizi tata…

Continue Reading....

UNIC Watoa Somo Juu ya Umuhimu wa Club za UN kwa Wanafunzi Mkoani Kagera

Posted on: July 25, 2013July 25, 2013 - jomushi
UNIC Watoa Somo Juu ya Umuhimu wa Club za UN kwa Wanafunzi Mkoani Kagera

Ofisa Habari wa Kitengo cha Habari cha Umoja wa Mataifa (UNIC), Usia Nkhoma Ledama akizungumza na Mkuu wa Shule ya Sekondari Ndama ya Wilayani Karagwe…

Continue Reading....

Mwanamke Aliyepotea kwa Miaka 50, Apatikana Kikongwe

Posted on: July 24, 2013 - jomushi
Mwanamke Aliyepotea kwa Miaka 50, Apatikana Kikongwe

MWANAMKE mmoja aliyepotea kwa zaidi ya miaka 50 mjini Surrey, Columbia amepatikana akiwa hai na kikongwe huku akiwaacha na maswali waliompata kutokana na hali aliyokuwa…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari