Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 620

Category: Habari za Nyumbani

AAT Yatoa Tuzo kwa Wanahabari

Posted on: July 29, 2013 - jomushi
AAT Yatoa Tuzo kwa Wanahabari

Na Jennifer Chamila, MAELEZO TAASISI ya Automobile Association Tanzania (AAT) imetoa tuzo kwa waandishi wa habari kutoka katika vyombo vya mbalimbali vya habari walio shiriki…

Continue Reading....

Ufadhili Kampeni za Uchaguzi Zakuza Rushwa EAC

Posted on: July 29, 2013 - jomushi
Ufadhili Kampeni za Uchaguzi Zakuza Rushwa EAC

Na Anne Kiruku, EANA, Arusha KUKOSEKANA kwa utashi wa kisiasa kwenye vita dhidi ya rushwa katika Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kunatokana na jinsi kampeni za…

Continue Reading....

Waziri Mkuu wa Thailand Kutembelea Tanzania Kesho

Posted on: July 29, 2013 - jomushi
Waziri Mkuu wa Thailand Kutembelea Tanzania Kesho

WAZIRI Mkuu wa Thailand anatarajia kuwasili nchini Tanzania kesho kwa ajili ya ziara ya kikazi. Waziri huyo atawasili nchini Julai 30, 2013 majira ya saa…

Continue Reading....

Maji Yawatesa Akinamama na Wanafunzi Kishapu

Posted on: July 29, 2013July 29, 2013 - jomushi
Maji Yawatesa Akinamama na Wanafunzi Kishapu

Na Joachim Mushi, Kishapu WASWAHILI wanasema ‘maji ni uhai’ na maisha bila maji ni kadhia. Kimsingi mwanadamu anahitaji maji safi na salama katika kuendesha maisha…

Continue Reading....

Wapo Wenzetu Wanaowakaribisha Wahamiaji Haramu – Kikwete

Posted on: July 29, 2013 - jomushi
Wapo Wenzetu Wanaowakaribisha Wahamiaji Haramu – Kikwete

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete amesema kuwa baadhi ya wahamiaji haramu wanaoishi katika Mkoa wa Kagera, hususan katika Wilaya ya…

Continue Reading....

Kutana na Kaden Msichana Aliebadili Jinsia Kuwa Mwanaume

Posted on: July 29, 2013 - jomushi
Kutana na Kaden Msichana Aliebadili Jinsia Kuwa Mwanaume

MSICHANA Kaden hakupenda yeye kuzaliwa jinsia hiyo. Hivyo baada ya kuanza kujitambua alianza mchakato wa kubadili jinsia yake. Taarifa za kisa hiki zilianza kusikika mwaka…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari