Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 618

Category: Habari za Nyumbani

Mama Salma Ataka Watanzania wa Nje Kulea Watoto Wao Kitanzania

Posted on: August 2, 2013 - jomushi
Mama Salma Ataka Watanzania wa Nje Kulea Watoto Wao Kitanzania

Na Anna Nkinda- Aliyekuwa Gaborone, Botswana WATANZANIA waishio nchi za nje wametakiwa kuwalea watoto wao katika misingi bora ya malezi yanayofuata mila, desturi na utamaduni wa Mtanzania…

Continue Reading....

Hamasisheni Wananchi Kuhusu Mtangamano wa EAC

Posted on: August 2, 2013 - jomushi
Hamasisheni Wananchi Kuhusu Mtangamano wa EAC

Na Isaac Mwangi, EANA-Arusha SERIKALI katika nchi wanachama zinazounda Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) zimeambiwa kuongeza kasi ya kuzungumzia faida ya mtangamano wa jumuiya hiyo. Wanachama wa…

Continue Reading....

LHRC Wamshtaki Waziri Mkuu Pinda Mahakamani

Posted on: August 2, 2013 - jomushi
LHRC Wamshtaki Waziri Mkuu Pinda Mahakamani

KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimemfungulia mashtaka Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kutokana na kauli yake aliyoitoa bungeni hivi karibuni kwamba wanaokaidi maagizo…

Continue Reading....

Jamii Yatakiwa Kupinga Unyanyasaji kwa Watoto wa Kike

Posted on: August 1, 2013 - jomushi
Jamii Yatakiwa Kupinga Unyanyasaji kwa Watoto wa Kike

Na Anna Nkinda- Gaborone,  Botswana JAMII imetakiwa kushirikiana kwa pamoja ili kuhakikisha kuwa hakuna unyanyasaji wa kijinsia kwa watoto wa kike na kuhakikishwa watoto hao wanalindwa…

Continue Reading....

Mkemia Mkuu Asema Mafuta ya Ubuyu ni Hatari kwa Afya

Posted on: August 1, 2013 - jomushi
Mkemia Mkuu Asema Mafuta ya Ubuyu ni Hatari kwa Afya

MKEMIA Mkuu wa Serikali, Profesa Samwel Manyele amewataka Watanzania kuacha kutumia mafuta ya ubuyu kwa maelezo kuwa yana kemikali yenye madhara kwa afya ya binadamu.…

Continue Reading....

Waziri wa Mkapa Ataka Rais Ashtakiwe

Posted on: August 1, 2013 - jomushi
Waziri wa Mkapa Ataka Rais Ashtakiwe

MWANASIASA mkongwe nchini, Mateo Qaresi ambaye amewahi kushika nyadhifa mbalimbali katika Serikali ya Awamu ya Pili na Tatu, ikiwamo uwaziri na ukuu wa mkoa, amesema…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari