Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 604

Category: Habari za Nyumbani

Kutoelewana Kati ya Rwanda, Tanzania Hakutavunja EAC

Posted on: August 29, 2013 - jomushi
Kutoelewana Kati ya Rwanda, Tanzania Hakutavunja EAC

Na Balthazar Nduwayezu, EANA KATIBU Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki EAC), Dk Richard Sezibera amesema hali ya sasa ya kutoelewana kwa muda mfupi kati…

Continue Reading....

TGNP Yaendesha Baraza Kukusanya Maoni ya Wadau Wake

Posted on: August 29, 2013August 29, 2013 - jomushi
TGNP Yaendesha Baraza Kukusanya Maoni ya Wadau Wake

MTANDAO wa Jinsia Tanzania (TGNP) unaendesha baraza kukusanya maoni kutoka kwa wadau wake wa masuala ya jinsia yatakayowasilishwa Tume ya Katiba kwa lengo la kuingizwa…

Continue Reading....

TGNP Yakutana na Wahariri Kuzungumzia Maadhimisho ya Miaka 20

Posted on: August 28, 2013 - jomushi
TGNP Yakutana na Wahariri Kuzungumzia Maadhimisho ya Miaka 20

Katika mkutano huo na wahariri TGNP imeainisha baadhi ya mafanikio na changamoto ambazo mtandao huo umezipata, ikiwa mbioni kufanya tamasha la mwaka huu ambalo litafanyika…

Continue Reading....

Dk Ndalichako: Siasa Zisipewe Nafasi Kwenye Mitihani Yetu

Posted on: August 28, 2013 - jomushi
Dk Ndalichako: Siasa Zisipewe Nafasi Kwenye Mitihani Yetu

KATIBU Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Taifa (Necta), Dk Joyce Ndalichako amesema siasa hazipaswi kupewa nafasi katika mchakato wa usimamizi wa mitihani na kwamba…

Continue Reading....

Waziri Lukuvi Asema Wabunge Wengi Wametajwa Kuhusika na Dawa za Kulevya

Posted on: August 28, 2013 - jomushi
Waziri Lukuvi Asema Wabunge Wengi Wametajwa Kuhusika na Dawa za Kulevya

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge), William Lukuvi amesema baadhi ya majina ya wabunge yametajwa miongoni mwa watu wanaoshukiwa kujihusisha…

Continue Reading....

CCM Yawarejesha Madiwani Waliotimuliwa Bukoba

Posted on: August 28, 2013 - jomushi
CCM Yawarejesha Madiwani Waliotimuliwa Bukoba

KAMATI Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa CCM, imejadili na kutolea maamuzi pamoja na mambo mengine suala la madiwani wanane waliotangazwa kufukuzwa uanachama na Halmashauri…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari