Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 597

Category: Habari za Nyumbani

Nape Arusha ‘Dongo’ CHADEMA, Awatuumu Kutumiwa na Wafadhili

Posted on: September 11, 2013September 11, 2013 - jomushi
Nape Arusha ‘Dongo’ CHADEMA, Awatuumu Kutumiwa na Wafadhili

Na Mwandishi Wetu, Kahama KATIBU wa NEC ya CCM itikadi na Uenezi amesema kinachowasumbua Chadema mpaka wanafanya yote waliyoyafanya hasa ngumi na vurugu bungeni ni…

Continue Reading....

Pinda Aonya Kuhusu Ardhi na Uvunjifu Amani

Posted on: September 11, 2013 - jomushi
Pinda Aonya Kuhusu Ardhi na Uvunjifu Amani

*Asema hakuna mwekezaji anayeuziwa ardhi   WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema Serikali itahakikisha kuwa ardhi ambayo Watanzania wamepewa na Mungu haibadiliki na kuwa chanzo cha…

Continue Reading....

Matapeli Watumia Jina la Rais Kikwete…!

Posted on: September 11, 2013 - jomushi
Matapeli Watumia Jina la Rais Kikwete…!

NDUGU msomaji wetu kuna matapeli wameunda mtandao na kuupa jina la Rais Jakaya Kikwete (yaani JAKAYA FOUNDATION) kwa lengo la kuwatapeli Watanzania. Tafadhali ukikutana na…

Continue Reading....

Maagizo ya Rais Kikwete kwa Kamati ya Taifa ya Uwekezaji

Posted on: September 9, 2013 - jomushi
Maagizo ya Rais Kikwete kwa Kamati ya Taifa ya Uwekezaji

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete amepokea na kuisoma Ripoti Kuhusu Ushindani wa Kibiashara Duniani (Global Competitiveness Index – GCI) itolewayo…

Continue Reading....

Waziri wa Mazingira Akagua Kiwanda Kipya cha Kuchambua Taka Tanzania

Posted on: September 9, 2013September 9, 2013 - jomushi
Waziri wa Mazingira Akagua Kiwanda Kipya cha Kuchambua Taka Tanzania

Diwani wa Kata ya Gongo la Mboto ambaye pia ni Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilala Jerry Silaa akimlaki mgeni rasmi Waziri wa…

Continue Reading....

Ugonjwa Usiojulikana Wamtesa Mwandishi wa Habari Tanga

Posted on: September 9, 2013 - jomushi
Ugonjwa Usiojulikana Wamtesa Mwandishi wa Habari Tanga

Na Dotto Mwaibale, Tanga ZUBERI Mussa ambaye ni mpiga picha mkongwe katika vyombo mbalimbali vya habari nchini ambaye kwa sasa anafanyakazi kampuni ya New Habari…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari