Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 596

Category: Habari za Nyumbani

Mwenge Wazinduwa Klabu ya Kupinga Rushwa Lindi

Posted on: September 12, 2013 - jomushi
Mwenge Wazinduwa Klabu ya Kupinga Rushwa Lindi

Na Anna Nkinda – Maelezo, Lindi VIJANA nchini wametakiwa kuwa wawazi, waaminifu na waadilifu kwani huo ndiyo msingi mkubwa wa kupambana na rushwa ili waweze kuwa…

Continue Reading....

JK Mjini Windhoek Kuhudhuria Mkutano wa SADC Troika Organ

Posted on: September 12, 2013 - jomushi
JK Mjini Windhoek Kuhudhuria Mkutano wa SADC Troika Organ

  RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete amewasili mjini Windhoek, Namibia, jioni ya Septemba 11, 2013, kuhudhuria Mkutano wa Asasi ya…

Continue Reading....

Rais Kikwete Asema Mnaonibeza Mtaaibika 2015

Posted on: September 12, 2013 - jomushi
Rais Kikwete Asema Mnaonibeza Mtaaibika 2015

RAIS Jakaya Kikwete amesema wale wote wanaombeza kuhusu utendaji wake, wataona aibu atakapomaliza muhula wake 2015 huku akiwananga baadhi ya wanaCCM kwa kushindwa kuyaelezea mafanikio…

Continue Reading....

Ufisadi Halmashauri ya Jiji Dar es Salaam

Posted on: September 12, 2013 - jomushi
Ufisadi Halmashauri ya Jiji Dar es Salaam

HALMASHAURI ya Jiji la Dar es Salaam ilikiuka taratibu za utoaji wa zabuni ya kubomoa jengo lililokuwa ndani ya Kituo Kikuu cha Mabasi yaendayo mikoani…

Continue Reading....

Alex Massawe Apandishwa Kizimbani Dubai

Posted on: September 11, 2013 - jomushi
Alex Massawe Apandishwa Kizimbani Dubai

MFANYABIASHARA maarufu nchini, Alex Massawe amefikishwa mahakamani Dubai, Falme za Kiarabu (UAE), kwa tuhuma za mauaji baada ya Serikali ya Tanzania kupitia Shirika la Polisi…

Continue Reading....

Abdulrahman Kinana Awapasha Wawekezaji, Diwani TLP Amfagilia

Posted on: September 11, 2013 - jomushi
Abdulrahman Kinana Awapasha Wawekezaji, Diwani TLP Amfagilia

  *Awataka kutoa michango ya maendeleo jamii inayowazunguka   KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana amewataka wawekezaji nchi kujenga tabia ya kutoa…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari