Mwanajeshi aliyefariki huko Goma, DRC wakati analinda amani ameagwa rasmi Jana katika Kambi ya Lugalo. Mwanajeshi huyo alifahamika kama Pete Hugo Barnabas Munga mwenye namba…
Continue Reading....Category: Habari za Nyumbani
Rais Kikwete Atuma Rambirambi kwa Rais Kenyatta Juu ya Shambulio la Ugaidi
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete amezungumza kwa simu na Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya na kumpa pole na kutaka kujua…
Continue Reading....Serikali Kurejesha Elimu ya O’Level Katika Shule Kongwe
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema Serikali imeanza kushughulikia utaratibu wa kurejesha utoaji wa elimu ya kidato cha kwanza hadi kidato cha nne katika baadhi ya…
Continue Reading....Serikali Yatenga Bilioni 109 Ununuzi Mahindi Hifadhi ya Chakula
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Uratibu na Bunge Mhe. William V. Lukuvi (Mb) amesema katika mwaka wa fedha wa 2013/2014 Serikali imetenga…
Continue Reading....Askofu Kakobe Ampa Mtihani Rais Kikwete Mkutanoni
Mkutano wa pamoja wa vyama vya CUF, CHADEMA na NCCR-Mageuzi Ukiendelea. Viongozi wakuu wa vyama hivyo, yaani James Mbatia Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi, Freeman Mbowe (Mwenyekiti…
Continue Reading....Mbowe, Mbatia, Profesa Lipumba Wamvaa IGP
VYAMA vya siasa vya upinzani vya Chadema, CUF na NCCR-Mageuzi, leo vitafanya mkutano wa hadhara katika Viwanja vya Jangwani kuhamasisha wananchi wapinge kile wanachodai ni…
Continue Reading....