WAZIRI MKUU Mizengo Pinda anaondoka Dar es Salaam Jumanne, Oktoba 15, 2013 kwenda China kwa ziara ya kikazi ya siku tisa kwa mwaliko wa Serikali…
Continue Reading....Category: Habari za Nyumbani
Jamani Hali ni Mbaya Shule za Msingi Kituoni na Kisaki Kata ya Kisaki Morogoro
Watoto wa Kike wa Shule ya Msingi Kisaki wakielekea shuleni, bahati mbaya viatu hakuna miguuni kutokana na hali ya umasikini kwenye familia zao. Naona hapa…
Continue Reading....Matukio Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru Viwanja vya Samora, Iringa
Rais Jakaya Kikwete akipokea Mwenge wa Uhuru kutoka kwa kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru 2013 Bw.Juma Ali Simai leo katika uwanja wa…
Continue Reading....Ajinyonga Mtini na Maiti Kukutwa Ikining’inia
Mtu ambaye jina lake halikufahamika mara moja ukining’inia juu ya mti mara baada ya kujinyonga usiku wa kuamkia leo mjini Morogoro. Chanzo cha mtu huyu kujinyonga hakijafahamika…
Continue Reading....Mwalimu Nyerere Ataendelea Kuwa Baba wa Taifa Milele…!
LEO ni kumbukumbu ya kifo cha Baba wa Taifa, Mwalimu Julias Kambarage Nyerere. Kila ifikapo Oktoba 14 kila mwaka Tanzania inaadhimisha kumbukumbu ya kifo cha…
Continue Reading....Mkasa Mzima wa Mauaji ya Mama Yake na Kupigwa Risasi Mwandishi wa ITV, Ufoo Saro
MWANDISHI wa Kituo cha Televisheni cha ITV, Ufoo Saro amejeruhiwa vibaya baada ya kupigwa risasi mbili jana alfajiri huko Kibamba, Dar es Salaam. Katika…
Continue Reading....