MKUTANO kati ya Rais Kikwete na viongozi wa vyama vya siasa vyenye uwakilishi Bungeni umemalizika Ikulu, Dar Es Salaam, Jumanne, Oktoba 15, 2013 kwa pande…
Continue Reading....Category: Habari za Nyumbani
Mwili wa Mama Ufoo Saro Wasafirishwa, Mashuhuda Wazungumzia Mauaji…!
Mtoto wa Ufoo Saro akiuaga mwili wa bibi yake aliyeuwawa kwa risasi na baba yake kanisani Kibamba” Wengine walishindwa kujiweza na kusaidia baada ya majonzi…
Continue Reading....JK Amteua Mhandisi (Eng)Bashir Mrindoko kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Maji
Rais Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Mhandisi (Eng.) Bashir J. Mrindoko kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji kwa kumpandisha cheo kutoka nafasi ya Naibu Katibu…
Continue Reading....EAC Wakubaliana Mgawanyo wa Vituo vya Mafunzo ya Polisi
By James Gashumba, EANA Wakuu wa majeshi ya polisi ya nchi wanachama za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) wamekubaliana kuanzisha vituo mbalimbali vya mafunzo vyenye…
Continue Reading....JK Atoa Milioni 5.5 kwa Makundi Maalumu Kusheherekea Sikukuu ya Edi El Hajj
Zawadi mbalimbali zilizotolewa kwa ajili ya sikukuu ya Ed El Hajj kwa makundi maalum NA MAGRETH KINABO – MAELEZ RAIS Jakaya Kikwete ametoa msaada wa…
Continue Reading....Mama Salma Awataka Wanawake kujifungulia Hospitali Iringa
Na Anna Nkinda- Maelezo, Iringa WANAWAKE MKOANI Iringa wametakiwa kuitumia Hospitali ya rufaa ya mkoa huo kupata huduma ya uzazi pamoja na watoto wao na…
Continue Reading....