Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 575

Category: Habari za Nyumbani

Serikali Yawatahadharisha Watumishi wa Mahakama

Posted on: October 20, 2013 - jomushi
Serikali Yawatahadharisha Watumishi wa Mahakama

Na Eleuteri Mangi -MAELEZO SERIKALI imewataka watumishi wa Mahakama nchini kuendesha shughuli zao kwa kuzingatia weledi, sheria, kanuni, taratibu, misingi ya kazi na maadili ya…

Continue Reading....

Mama Salma Awataka Akinamama Wanging’ombe Kusimamia Elimu ya Wasichana

Posted on: October 20, 2013 - jomushi
Mama Salma Awataka Akinamama Wanging’ombe Kusimamia Elimu ya Wasichana

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akisalimiana na wananchi mbalimbali waliofika kuwapokea wakati walipowasili kwenye kijiji cha Kipengere tarehe 19.10.2013. Rais Jakaya Kikwete akikata utepe ikiwa…

Continue Reading....

Wakulima wa Tumbaku Tanzania Kunufaika na Soko la China

Posted on: October 20, 2013 - jomushi
Wakulima wa Tumbaku Tanzania Kunufaika na Soko la China

KILIO cha wakulima tumbaku kuhusiana ukosefu wa soko pamoja na bei kubadilika kitamalizwa hivi karibuni baada ya zao hilo kupata kibali cha kuuzwa kwenye soko…

Continue Reading....

Zitto Kuongoza Jopo la Uchunguzi wa Uwazi Katika Kodi

Posted on: October 20, 2013 - jomushi
Zitto Kuongoza Jopo la Uchunguzi wa Uwazi Katika Kodi

  SHIRIKA la Kimataifa la Mtandao wa Ulaya wa Madeni na Maendeleo, European Network on Debt and Development (Eurodad) watafanya ziara ya kiuchunguzi kuhusu masuala…

Continue Reading....

CCECC ya Nchini China Kujenga Reli ya Kati Tanzania

Posted on: October 20, 2013 - jomushi
CCECC ya Nchini China Kujenga Reli ya Kati Tanzania

  KAMPUNI ya ujenzi na uhandisi wa majengo ya China Civil Engineering Construction Corporation (CCECC) imesema iko tayari kuja Tanzania na kujenga upya reli ya…

Continue Reading....

Pinda Ataja Chanzo cha Watanzania Kujihusisha na Dawa za Kulevya

Posted on: October 19, 2013 - jomushi
Pinda Ataja Chanzo cha Watanzania Kujihusisha na Dawa za Kulevya

  WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema katika kipindi alichokaa ofisini na kushughulikia suala la dawa za kulevya amebaini kuwa tatizo la matumizi ya dawa hizo…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari