Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 574

Category: Habari za Nyumbani

Rais Jakaya Kikwete Atuma Salama za Rambirambi Msiba wa Julias Nyaisanga, Kuagwa Kesho Dar

Posted on: October 21, 2013 - jomushi
Rais Jakaya Kikwete Atuma Salama za Rambirambi Msiba wa Julias Nyaisanga, Kuagwa Kesho Dar

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia Salamu za Rambirambi Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenella Mukangara kufuatia…

Continue Reading....

Dk. Nchimbi Kufungua Mkutano wa Maofisa Waandamizi Jeshi la Magereza

Posted on: October 21, 2013 - jomushi
Dk. Nchimbi Kufungua Mkutano wa Maofisa Waandamizi Jeshi la Magereza

Na Eliphace Marwa – MAELEZO WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi Dk. Emmanuel Nchimbi anatarajia kufungua mkutano wa siku mbili wa Maofisa waandamizi wa…

Continue Reading....

Rais atoa Rambirambi za Msiba wa “Uncle J. Nyaisanga”

Posted on: October 21, 2013October 21, 2013 - Rungwe Jr.
Rais atoa Rambirambi za Msiba wa “Uncle J. Nyaisanga”

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia Salamu za Rambirambi Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo, Mheshimiwa Dkt. Fenella…

Continue Reading....

Mtangazaji Julius Nyaisanga Afariki Dunia

Posted on: October 21, 2013 - jomushi
Mtangazaji Julius Nyaisanga Afariki Dunia

MTANGAZAJI maarufu wa siku nyingi ambaye kwa sasa alikuwa Meneja wa kituo cha Aboud Media, Julius Nyaisanga aka “Uncle J”, amefariki dunia. Taarifa zinasema marehemu…

Continue Reading....

‘Wananchi Wanataka Uadilifu na Uaminifu si Majengo Mazuri’

Posted on: October 20, 2013October 20, 2013 - jomushi
‘Wananchi Wanataka Uadilifu na Uaminifu si Majengo Mazuri’

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete amesema kuwa majengo mazuri ya ofisi za Halmashauri mbali mbali nchini ni muhimu lakini muhimu…

Continue Reading....

BMAF Yapokea Msaada wa Milioni 50 Kuboresha Huduma za Afya

Posted on: October 20, 2013 - jomushi
BMAF Yapokea Msaada wa Milioni 50 Kuboresha Huduma za Afya

Eleuteri Mangi-Maelezo TAASISI isiyoya kiserikali ya Benjamin William Mkapa Foundation (BMAF) imepokea msaada wa Sh. milioni 50 za kitanzania kwa mwaka 2013 katika kutekeleza mpango…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari