WARAKA unaodaiwa kuandaliwa na CCM kwa ajili kuwaelekeza wajumbe wake kwenye Bunge Maalumu la Katiba kutetea msimamo wa Serikali mbili umepokewa kwa hisia tofauti huku…
Continue Reading....Category: Habari za Nyumbani
Kanuni za Kuliongoza Bunge la Katiba Zakabidhiwa…!
Na Magreth Kinabo- Maelezo, Dodoma KAMATI ya Kumshauri Mwenyekiti wa muda wa Bunge Maalum kuhusu Kanuni za Bunge maalum imewasilisha taarifa katika semina iliyoandaliwa kwa wajumbe wa bunge hilo, ambapo…
Continue Reading....Serikali Yaahidi Ushirikiano na Viongozi wa Dini Juu ya Rasilimali za Nchi
Na Eleuteri Mangi-MAELEZO Mtwara RASILIMALI za gesi asilia, mafuta na madini zilizopo mikoa ya Lindi na Mtwara ni kwa neema, ukarimu, ufadhili na baraka za…
Continue Reading....JK Amteuwa Msaidizi wake Masuala ya Hotuba
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Bwana Togolani I. Mavura kuwa Msaidizi wa Rais (Hotuba) kuanzia Februari 8, mwaka huu,…
Continue Reading....Daktari ‘Feki’ wa Muhimbili Akamatwa..!
MAOFISA Usalama wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), wamemkamata mtu anayedaiwa kutoa huduma kwa wagonjwa kinyume cha utaratiba na kwamba, amekuwa akiwatapeli wagonjwa wanaokwenda kupata…
Continue Reading....Maliasili na Utalii Kwawaka ‘Moto’, Wakurugenzi Watimuliwa..!
Na Joachim Mushi WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu amemfukuza kazi Mkurugenzi wa Idara ya Wanyamapori ya Wizara ya Maliasili na Utalii, Profesa Alexander…
Continue Reading....