Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 509

Category: Habari za Nyumbani

Mkosaji na Mvunjifu Haki za Binadamu ni Serikali – Jaji mstaafu Mihayo

Posted on: February 28, 2014 - jomushi
Mkosaji na Mvunjifu Haki za Binadamu ni Serikali – Jaji mstaafu Mihayo

IMEELEZWA kuwa mkosaji na mvunjifu mkubwa wa haki za binadamu ni serikali kutokana na mazingira halisi ya utendaji na mfumo mzima wa utawala katika serikali…

Continue Reading....

JK Azinduwa Mtambo wa Kuhakiki na Kusimamia Mawasiliano ya Simu

Posted on: February 28, 2014 - jomushi
JK Azinduwa Mtambo wa Kuhakiki na Kusimamia Mawasiliano ya Simu

Na Mwandishi Maalumu RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete, Februari 27, 2014, amezindua Mtambo wa Kuhakiki na Kusimamia Mawasiliano ya Simu (Telecommunications…

Continue Reading....

Rais Kikwete, Wanajumuiya UDSM Wauaga Mwili wa Balozi Kazaura

Posted on: February 28, 2014 - jomushi
Rais Kikwete, Wanajumuiya UDSM Wauaga Mwili wa Balozi Kazaura

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete, Februari 27, 2014, ameungana na mamia ya waombolezaji kuaga mwili wa Mkuu wa Chuo Kikuu cha…

Continue Reading....

Kilwa Kutumia Rasilimali Kuboresha Maisha ya Wananchi

Posted on: February 28, 2014 - jomushi
Kilwa Kutumia Rasilimali Kuboresha Maisha ya Wananchi

Na Aron Msigwa – Maelezo, Dar es Salaam UONGOZI wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa umesema utahakikisha rasilimali zote zinazopatikana katika wilaya hiyo ikiwa ni pamoja…

Continue Reading....

Ahukumiwa Miaka 30 kwa Kumbaka Mwanafunzi Std II

Posted on: February 27, 2014 - jomushi
Ahukumiwa Miaka 30 kwa Kumbaka Mwanafunzi Std II

Yohane Gervas, Rombo MAHAKAMA ya Wilaya ya Rombo imemuhukumu Joseph Didas (39) mkazi wa Kijiji cha Ubaa Tarafa ya Mkuu Wilaya ya Rombo kutumikia kifungo…

Continue Reading....

Serikali ‘Kuwasomesha’ Wanachuo 20 Mikoa ya Lindi na Mtwara

Posted on: February 27, 2014 - jomushi
Serikali ‘Kuwasomesha’ Wanachuo 20 Mikoa ya Lindi na Mtwara

Na Eleuteri Mangi- Maelezo, Mtwara SERIKALI imeahidi kuangalia uwezekano wa kuwafadhili wanafunzi wapatao 20 kutoka mikoa ya Lindi na Mtwara wanaosoma katika chuo kikuu kishiriki…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari