Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 507

Category: Habari za Nyumbani

Mikataba ya Kimataifa Iwe Sheria Kamili – TGNP Mtandao

Posted on: March 5, 2014 - jomushi
Mikataba ya Kimataifa Iwe Sheria Kamili – TGNP Mtandao

WANAHARAKATI wa masuala ya haki na usawa wa Kijinsia nchini wamependekeza Bunge maalum la katiba kuhakikisha katiba mpya inaweka wazi kila mikataba ya kimataifa itakayoridhiwa…

Continue Reading....

Sitta Apiga Jaramba Kuongoza Bunge la Katiba

Posted on: March 5, 2014March 5, 2014 - jomushi
Sitta Apiga Jaramba Kuongoza Bunge la Katiba

SIKU moja baada ya kuteuliwa na CCM kuwania uenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta amesema ameanza kupitia…

Continue Reading....

Wajumbe wa Bodi Wavutiwa na Teknolojia ya Utengenezaji Kadi ya Mwanachama NSSF

Posted on: March 5, 2014 - jomushi
Wajumbe wa Bodi Wavutiwa na Teknolojia ya Utengenezaji Kadi ya Mwanachama NSSF

WAJUMBE wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) jana jijini Dar es Salaam walivutiwa na teknolojia mpya inayotumiwa kwa…

Continue Reading....

Wajumbe Bodi ya Wakurugenzi NSSF Watembelea Ujenzi Mradi wa ‘Dege ECO Village’

Posted on: March 4, 2014 - jomushi
Wajumbe Bodi ya Wakurugenzi NSSF Watembelea Ujenzi Mradi wa ‘Dege ECO Village’

WAJUMBE wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) leo wametembelea mradi wa ujenzi wa nyumba za kisasa unaojulikana kwa…

Continue Reading....

Makonda Asimika Makamanda 16 wa UVCCM Singida

Posted on: March 3, 2014 - jomushi
Makonda Asimika Makamanda 16 wa UVCCM Singida

Na Mwandishi Wetu KATIBU wa Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi wa jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) ambaye pia ni Mjumbe…

Continue Reading....

JK Kuzinduwa Bunge la Katiba Wiki Ijayo

Posted on: March 3, 2014 - jomushi
JK Kuzinduwa Bunge la Katiba Wiki Ijayo

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete anatarajia kulizinduwa bunge maalumu la Katiba wiki ijayo mjini Dodoma. Awali Rais Kikwete alitarajia kulizinduwa…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari