KANISA lisilo rasmi la Mchungaji Josephat Gwajima lililopo katika viwanja vya Tanganyika Packers Kawe, wilaya ya Kinondoni, Jijini Dar es Salaam limeamuriwa kufungwa na kuondoka mara…
Continue Reading....Category: Habari za Nyumbani
Mama Kikwete Ataka Fedha za Mikopo Zitumike kwa Malengo
Na Anna Nkinda – Maelezo, Rufiji WANACHAMA wa vikundi vya kukopa na kuweka akiba wametakiwa kuwa na uthubutu na kujiwekea malengo ya maendeleo kutokana na fedha wanazokopa…
Continue Reading....Bango Sangho Watoa Huduma za Afya Bure Kibugumu
UMOJA wa Jamii ya Watu kutoka nchini India Bengali wa Dar es Salaam (Bango Sangho) wametoa huduma za afya bure kwa watoto wa chini ya…
Continue Reading....Rais Paul Kagame Amfagilia Kikwete Mkutanoni
RAIS wa Jamhuri ya Rwanda, Paul Kagame amesema kuwa hatua ya Mwenyekiti wa Nchi Wanachama wa Jumuia ya Afrika Mashariki (EAC) Rais Jakaya Mrisho Kikwete…
Continue Reading....Japani Yatoa Milioni 160 Ujenzi Shule ya Awali
*Waziri Mkuu aomba Watanzania wamuunge mkono SERIKALI ya Japan imetoa msaada wa dola za Marekani 90,286 sawa na sh. milioni 160/- kusaidia ujenzi wa shule…
Continue Reading....Rais Kikwete Amtembelea Kagame Rwanda
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete ameondoka nchini, Machi 7, 2015, kwenda Kigali, Rwanda kwa ziara ya siku moja nchini humo…
Continue Reading....