Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 234

Category: Habari za Nyumbani

Uturuki Kuisaidia Makumbusho ya Taifa Tanzania

Posted on: November 18, 2015 - jomushi
Post Tags: Makumbusho Tanzania
Uturuki Kuisaidia Makumbusho ya Taifa Tanzania

Na Sixmund J. Begashe, Dar es Salaam NCHI ya Uturuki imekubalia kuisaidia Makumbusho ya Taifa katika nyanja za Utafiti, Uhifadhi, Maonesho ya vioneshwa vya kimakumbusho…

Continue Reading....

Mobisol Yanufaisha Familia Elfu 30 na Umeme wa Jua

Posted on: November 18, 2015November 18, 2015 - jomushi
Post Tags: Umeme wa Jua

KAMPUNI ya Mobisol yenye makao yake makuu mjini Berlini nchini ujerumani ambayo inajihusisha na uzalishaji wa umeme wa jua tayari imewaunganisha wateja wapatao 30,000 nchini…

Continue Reading....

Wamasai Ngorongoro Wasaini Azimio Kumlinda Mtoto wa Kike…!

Posted on: November 18, 2015 - jomushi
Post Tags: Wamasai
Wamasai Ngorongoro Wasaini Azimio Kumlinda Mtoto wa Kike…!

Pichani juu na chini ni baadhi ya viongozi wa mila (Laigwanan na Laiboni) na akina mama mashuhuri (Ngaigwanan) wilayani Lolilondo wakisoma na kujadili azimio la…

Continue Reading....

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI

Posted on: November 17, 2015 - admin
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI TheHabariMediaGroup (TMG), tunapenda kuwatangazia Watanzania wote wenye sifa watume barua za maombi ya kazi zifuatazo: 1. Mwandishi wa Habari Za…

Continue Reading....

Breaking Newz; Job Ndugai Achaguliwa Spika wa Bunge

Posted on: November 17, 2015 - jomushi
Post Tags: Spika wa Bunge
Breaking Newz; Job Ndugai Achaguliwa Spika wa Bunge

JOB Yustino Ndugai ameteuliwa kuwa Spika wa Bunge la 11. Ndugai ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Kongwa kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)…

Continue Reading....

Wachimbaji Waliofukiwa Ardhini Siku 41 Wapatikana Hai

Posted on: November 16, 2015 - jomushi
Post Tags: Wachimbaji
Wachimbaji Waliofukiwa Ardhini Siku 41 Wapatikana Hai

Na Jacquiline Mrisho- Maelezo WACHIMBAJI wadogo wadogo watano waliofukiwa katika mgodi wa Nyangalata ulioko wilayani Kahama na kukaa shimoni kwa siku 41 wamepatikana wakiwa hai.…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari