SERIKALI imetenga sh. bilioni 31 kwa ajili ya mradi wa Mbwinji wilayani Masasi utakaohudumia pia wilaya ya Nachingwea. Rais Jakaya Kikwete alisema hayo jana mjini…
Continue Reading....Category: Habari za Nyumbani
Wabunge wa Chadema watolewa bungeni
Askari wa Bunge wakiwasindikiza wabunge wa CHADEMA Tundu Lissu (kulia) , Mchungaji Peter Msigwa (kushoto) na Godbless Lema (wa pili kushoto) kuondoka nje ya viwanja…
Continue Reading....Fedha za pembejeo zawatokea ‘puani’ maofisa Chato
Chato, MAOFISA wanne kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Chato mkoani Kagera wamefikishwa mahakamani kwa tuhuma za kutafuna fedha za pembejeo za kilimo zilizotakiwa kupewa wakulima.…
Continue Reading....Breaking News: Ajali mbaya Moshi, 11 wafa 22 wajeruhiwa
Moshi, Taarifa zilizotufikia muda huu ni kwamba; ajali mbaya imetokea mjini Moshi katika barabara ya Kibosho ambapo magari takribani manne yamehusika katika ajali hiyo. Kwa…
Continue Reading....Kamati ya Wanafunzi Ustawi wa Jamii yazungumza na wanahabari Dodoma
JULAI 21, 2011, Taasisi ya Ustawi wa Jamii ilifunga masomo (kufunga Chuo) kutokana na mgogoro baina ya Menejimenti na Wahadhiri. Mgogoro huo ambao Kaimu Mkuu…
Continue Reading....SARA DUMBA ASIFU JUKWAA LA ALIZETI
SARA DUMBA Na William Macha-Iringa MKUU wa Wilaya ya Njombe, Sara Dumba amelimwagia sifa Jukwaa la Alizeti lililozinduliwa mkoani Iringa, kupitia mradi wa Muunganisho Ujasiriamali…
Continue Reading....