Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 1,218

Category: Habari za Nyumbani

Wafanyabiashara wa vitunguu Mbulu wawalama kupanda kwa ushuru

Posted on: August 1, 2011 - jomushi
Wafanyabiashara wa vitunguu Mbulu wawalama kupanda kwa ushuru

Wafanyabiashara wa vitunguu saumu eneo la Kariakoo Na Mwandishi Wetu WAFANYABIASHARA wasambazaji wa vitunguu saumu jijini Dar es Salaam wameulalamikia utaratibu mpya wa tozo za…

Continue Reading....

CCM sasa ‘yaingilia’ utendaji wa EWURA

Posted on: August 1, 2011 - jomushi
CCM sasa ‘yaingilia’ utendaji wa EWURA

Na Joachim Mushi CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimezipinga sababu zilizotolewa na Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji nchini (EWURA), za kupandisha kodi…

Continue Reading....

CCM yaridhia kuondoka madarakani kwa Rostam, yataka wengine wafuate nyayo

Posted on: August 1, 2011August 1, 2011 - jomushi
CCM yaridhia kuondoka madarakani kwa Rostam, yataka wengine wafuate nyayo

Katibu Mkuu wa CCM Taifa Willson Mkama,akisoma utaratibu wakati wa kikao cha Kamati Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika hivi karibuni Dodoma,(wa pili kulia) Mwenyekiti wa…

Continue Reading....

‘Maiti’ aamka mochwari Afrika Kusini

Posted on: August 1, 2011August 1, 2011 - jomushi
‘Maiti’ aamka mochwari Afrika Kusini

Afrika Kusini, RAIA mmoja wa Afrika Kusini ameamka na kujikuta yupo kwenye chumba cha kuhifadhia maiti mwishoni hivi karibuni, na kuanza kupiga kelele akitaka wahudumu…

Continue Reading....

Mnyika aelezea ufisadi uliofanyika mradi wa UDA

Posted on: July 31, 2011July 31, 2011 - jomushi
Mnyika aelezea ufisadi uliofanyika mradi wa UDA

TAREHE 27 Julai 2011 vyombo mbalimbali vya habari vimemnukuu Meya Wa Jiji la Dar es salaam Dk. Didas Masaburi akieleza kilichoitwa maamuzi ya Baraza la…

Continue Reading....

RAIS KIKWETE KUFUNGUA MAONESHO YA NANE NANE

Posted on: July 31, 2011 - jomushi
RAIS KIKWETE KUFUNGUA MAONESHO YA NANE NANE

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete kesho, (Agosti Mosi, 2011) anatarajia kuwa mgeni rasmi katika ufunguzi wa Wiki ya Sherehe za Nane…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari