Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 1,217

Category: Habari za Nyumbani

Malecela ataka uamuzi mgumu dhidi ya Lowassa, Chenge

Posted on: August 3, 2011 - jomushi
Malecela ataka uamuzi mgumu dhidi ya Lowassa, Chenge

Dodoma MWANASIASA mkongwe, Samuel John Malecela, amekitaka Chama cha Mapinduzi (CCM) kuchukua maamuzi thabiti ya kumalizana na dhana ya kujivua gamba kwa ama kutekeleza au…

Continue Reading....

Serikali yashusha bei ya mafuta

Posted on: August 3, 2011 - jomushi
Serikali yashusha bei ya mafuta

Dodoma, MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imeshusha bei za mafuta ya petroli, dizeli na mafuta ya taa kunzia leo. Akizungumza…

Continue Reading....

Rais Kikwete apokea hati za mabalozi

Posted on: August 2, 2011August 2, 2011 - jomushi
Rais Kikwete apokea hati za mabalozi

RAIS Jakaya Kikwete leo Ikulu ya Dar es Salaam, amepokea Hati za Utambulisho kutoka kwa balozi mpya wa Ujerumani Bwana Klaus-Dieter Brandes na kuagana na…

Continue Reading....

DK BILAL ATEMBELEA SHAMBA LA ZABIBU DODOMA

Posted on: August 2, 2011 - jomushi
DK BILAL ATEMBELEA SHAMBA LA ZABIBU DODOMA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, na mkewe Mama Asha Bilal, wakifurahia ngoma ya asili kabira la Wagogo,…

Continue Reading....

Wananchi: Tafiti za utawala bora za APRM zifanyiwe kazi

Posted on: August 2, 2011 - jomushi
Wananchi: Tafiti za utawala bora za APRM zifanyiwe kazi

Ofisa Habari wa APRM Tanzania, Hassan Abbas Na Mwandishi Wetu, Dodoma Wananchi wa kada mbalimbali wakiwemo wanafunzi wa vyuo mbalimbali vya mjini Dodoma wamesema katika…

Continue Reading....

Mkuu wa shule na makamu wake wapokezana kufundisha shule nzima

Posted on: August 2, 2011August 2, 2011 - jomushi
Mkuu wa shule na makamu wake wapokezana kufundisha shule nzima

Mwalimu Mkuu Msaidizi wa Shule ya Msingi Mchuchuma Wilaya ya Ludewa mkoani Iringa, Bw. Joseph Thomas Lugome (58) akionesha darasa la saba ambalo limekuwa likisomewa…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari