Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 1,167

Category: Habari za Nyumbani

Rais Kikwete amtumia rambirambi RC Kandoro

Posted on: September 27, 2011September 27, 2011 - jomushi
Rais Kikwete amtumia rambirambi RC Kandoro

Na Mwandishi Wetu RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Kikwete amemtumia salamu za rambirambi Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Abbas Kandoro kufuatia…

Continue Reading....

Jando kwa Wamasai kuanza Oktoba

Posted on: September 27, 2011September 27, 2011 - jomushi
Jando kwa Wamasai kuanza Oktoba

Na Janeth Mushi, Arusha WAKAZI wa Jamii ya wafugai wa Kimasai waishio Ukanda wa Afrika Mashariki, Oktoba 21 mwaka huu wanatarajia kuanza sherehe za kuwapeleka…

Continue Reading....

Mgawo wa umeme wakwamisha kesi ya Lema

Posted on: September 27, 2011September 27, 2011 - jomushi
Mgawo wa umeme wakwamisha kesi ya Lema

Na Janeth Mushi, Arusha MGAWO wa umeme unaoyakabili maeneo anuai nchini, leo umeathiri kuanza usikilizwaji wa awali wa kesi inayomkabili Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless…

Continue Reading....

Wagombea Chadema, CUF wamshambulia Dk Kafumu

Posted on: September 26, 2011September 26, 2011 - jomushi
Wagombea Chadema, CUF wamshambulia Dk Kafumu

Igunga WAGOMBEA ubunge katika Jimbo la Igunga, Leopold Mahona wa CUF na Mwalimu Joseph Kashindye wa Chadema, jana walimkaba koo mgombea wa CCM, Dk Dalaly…

Continue Reading....

MAKAMU WA RAIS DKT BILAL AKUTANA NA WATANZANIA WAISHIO SWEDEN

Posted on: September 26, 2011September 26, 2011 - Rungwe Jr.
MAKAMU WA RAIS DKT BILAL AKUTANA NA WATANZANIA WAISHIO SWEDEN

Na Boniphace Makene Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal ametoa mhadhara kuhusu changamoto za kisayansi katika maadhimisho ya…

Continue Reading....

Dk. Shein aendelea kuwafariji wafiwa

Posted on: September 26, 2011 - jomushi
Dk. Shein aendelea kuwafariji wafiwa

Na Rajab Mkasaba, Ikulu Zanzibar RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, leo amefanya ziara ya kuwafariji wafiwa katika…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari