KIONGOZI wa Kanisa Katoliki Duniani, Baba Mtakatifu Benedict wa 16 ameeleza kufurahishwa na kuridhishwa kwake na amani, utulivu na uvumilivu wa kidini ulioko baina ya…
Continue Reading....Category: Habari za Nyumbani
Akatwa mapanga na kuchomwa moto Arusha
Na Janeth Mushi, Arusha MFANYABIASHARA wa mjini hapa amefariki dunia baada ya kupigwa, kukatwakatwa vibaya sehemu anuai za mwili na kisha kuchomwa moto na wananchi…
Continue Reading....Madiwani waliotimuliwa Chadema waanza vituko; Wavamia mkutano
Na Mwandishi Wetu, Arusha KATIKA hali ya kushangaza madiwani watatu waliotimuliwa uanachama ndani ya Chama Cha Maendeleo na Maendeleo (CHADEMA), na kuvuliwa nafasi zao za…
Continue Reading....Balozi wa Vatican Tanzania atoa pole Zanzibar
Na Rajab Mkasaba, Ikulu-Zanzibar VATICAN imesema imeguswa na msiba mkubwa uliosababishwa na kuzama kwa meli ya Mv. Spice Islander na kutoa mkono wa pole kwa…
Continue Reading....