Na Janeth Mushi, Arusha MIRADI 11 ya Maendeleo yenye thamani ya zaidi ya sh. bilioni 1.7 ambayo imegharamiwa na Serikali Kuu, kwa kushirikiana na halmashauri,…
Continue Reading....Category: Habari za Nyumbani
Kumbukizi ya miaka 12 ya kifo cha Nyerere
LEO Watanzania wanaadhimisha miaka 12 tangu kufariki kwa Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, aliyefariki tarehe kama ya leo mwaka 1999. Nyerere ambaye alikuwa muhimili…
Continue Reading....Polisi wasaka madaktari waliotekwa Kenya
POLISI wakitumia helikopta na magari wanawasaka watu wenye silaha waliowateka nyara madaktari wawili wa Uhispania wanaofanya kazi na shirika la misaada la Medicins Sans Frontiers…
Continue Reading....Kikwete ashiriki mazishi ya Mwanahabari Penza
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete, Oktoba 13, 2011 aliungana na waombolezaji kumzika mwanahabari mkongwe, Juma Fugame Penza katika makaburi ya Kisutu,…
Continue Reading....Ikulu yakanusha JK kutoa msamaa wa vifo
*Ni kwa wanaodaiwa kumuua Lut. Generali Kombe Na Mwandishi Wetu GAZETI la Mwananchi, matoleo ya Jumatano, Oktoba 12 na Oktoba 13, 2011, limeandika habari zilizodai…
Continue Reading....Iran yaipa Tanzania power tiller 100
Na Mwandishi Maalum IRAN imetoa matrekta madogo aina ya power tiller 100 kwa Serikali ya Muungano wa Tanzania kusaidia kuinua na kuimarisha kilimo nchini na…
Continue Reading....