Dear Dar Es Salaam Bloggers, Dar es Salaam Bloggers’ Circle would like to invite you to a group meeting at 6:30 p.m. on Wednesday, October…
Continue Reading....Category: Habari za Nyumbani
Rais Kikwete kuzindua mkutano wa uwekezaji Mpanda
Na Mwandishi Wetu RAIS Jakaya Kikwete kesho, Oktoba 17, 2011, anatarajiwa kuwasili wilayani Mpanda mkoani Rukwa kuzindua mkutano mkubwa wa uwekezaji wa Kanda ya Uwekezaji…
Continue Reading....Dk. Shein ataadhalisha juu ya chakula
Na Rajab Mkasaba Ikulu-Zanzibar USALAMA wa Chakula nchini na duniani kote ni suala linalohitaji uangalizi mkubwa ili kuhakikisha haitokei uhaba wa chakula na watu wote…
Continue Reading....CCM yalia msiba wa Chadema, yakanusha kuhusika
Na Mwandishi Wetu CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimepokea kwa masikitiko taarifa za kifo cha mmoja wa mawakala wa CHADEMA, Mbwana Masoud kilichotokea baada ya upigaji…
Continue Reading....Wanachama wa UWT watakiwa kuwa wavumilivu
Na Anna Nkinda – Maelezo, Tarime WANACHAMA wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) wametakiwa kuwa wavumilivu, na upendo, uzalendo kwa Taifa, utayari wa kuthubutu na…
Continue Reading....Ole Sendeka asema CCM isisubiri kuwajibiswa na wananchi
Na Joachim Mushi MBUNGE wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jimbo la Simanjiro, Christopher ole Sendeka amesema CCM isingoje kuwajibishwa na Wananchi bali ihakikishe inawang’oa mafisadi…
Continue Reading....