Na Anna Nkinda – Maelezo TAASISI ya General Election Health Magination (GE) ya nchini Marekani imeamua kufanya kazi na Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA)…
Continue Reading....Category: Habari za Nyumbani
Tanzania yapaa kwa rushwa Afrika Mashariki!
Tanzania imezidi kufanya vibaya katika mizania ya rushwa katika nchi tano za ukanda wa Afrika Mashariki, baada ya kupanda kutoka nafasi ya nne iliyokuwa ikiishikilia…
Continue Reading....Viongozi Chadema waachiwa huru
Viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) waliokamatwa juzi kwa madai ya kuvunja amri ya polisi ya kutofanya mkutano wa hadhara, wameachiwa huru. Viongozi…
Continue Reading....Mama Salma: Majungu na fitna sumu ya maendeleo
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete, amewaonya wananchi kuepuka majungu, fitna na migongano kwani ni sumu ambayo kamwe haiwezi kuleta maendeleo. Mama Salma aliyasema hayo…
Continue Reading....Mazishi ya siri ya Gaddafi
MAMLAKA nchini Libya zinafanya mipango ya kufanya mazishi ya siri kwa kiongozi aliyeondolewa madarakani Kanali Muammar Gaddafi, baada ya kukamatwa na kuawa, BBC inafahamu. Hata…
Continue Reading....Breaking News; NTC wathibitisha kumuua Gaddafi
*Mwili wake wawekwa msikitini WAPIGANAJI wa Majeshi ya Baraza la Mpito la Libya (NTC) wamethibitisha kuuwawa kwa aliyekuwa kiongozi wa nchi hiyo. Akizungumza na vyombo…
Continue Reading....