Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 1,148

Category: Habari za Nyumbani

Ndege yaanguka Arusha yaua na kujeruhi

Posted on: October 22, 2011October 22, 2011 - jomushi
Ndege yaanguka Arusha yaua na kujeruhi

Na Mwandishi Wetu, Arusha NDEGE ndogo ikiwa na marubani wawili imeanguka na kusababisha kifo cha mmoja wao huku mwingine akijeruhiwa vibaya. Rubani aliyepoteza maisha katika…

Continue Reading....

Kariakoo kwatapakaa maji ya mavi!

Posted on: October 22, 2011 - jomushi
Kariakoo kwatapakaa maji ya mavi!

Na Mwandishi Wetu MAENEO kadhaa ya Soko la Kimataifa la Kariakoo ambalo ni maarufu jijini Dar es Salaam leo tangu majira ya asubuhi yalikuwa yametapakaa…

Continue Reading....

NATO kusitisha mashambulio Libya wiki ijayo

Posted on: October 22, 2011October 22, 2011 - jomushi
NATO kusitisha mashambulio Libya wiki ijayo

JUMUIYA ya NATO imesema ina mpango wa kusitisha ujumbe wa kijeshi wa kushambulia maeneo nchini Libya yaliyodumu miezi saba, ifikapo mwishoni mwa mwezi huu, siku…

Continue Reading....

Mzozo wazuka kuhusu mazishi ya Gaddafi

Posted on: October 22, 2011October 22, 2011 - jomushi
Mzozo wazuka kuhusu mazishi ya Gaddafi

MAZISHI ya Kanali Gaddafi yamesitishwa kutokana na tofauti zilizozuka baina ya maofisa wa Libya kuhusu jinsi ya kufanya maziko hayo. Chini ya utamaduni wa Kiislam,…

Continue Reading....

Waandishi wapatiwa mafunzo namna ya kuripoti ukatili

Posted on: October 22, 2011October 22, 2011 - jomushi
Waandishi wapatiwa mafunzo namna ya kuripoti ukatili

CHAMA cha Waandishi wa Habari Wanawake (TAMWA) jana kimetoa mafunzo kwa wanahabari zaidi ya 30, ambao wanaandaliwa kwa lengo la kuripoti habari za unyanyasaji wa…

Continue Reading....

Tanzania yapongezwa kutekeleza malengo ya milenia

Posted on: October 21, 2011October 22, 2011 - jomushi
Tanzania yapongezwa kutekeleza malengo ya milenia

TANZNIA imepongezwa kwa jitihada zake za kutekeleza Malengo ya Milenia ambayo yalilenga katika kupunguza vifo vya akina mama na watoto na pia jitihada zake katika…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari