Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 1,138

Category: Habari za Nyumbani

Wajasiriamali wanawake wawasaidie vijana-Waziri Simba

Posted on: October 31, 2011 - jomushi
Wajasiriamali wanawake wawasaidie vijana-Waziri Simba

Na Joachim Mushi WAZIRI wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto Tanzania, Sophia Simba amesema ushiriki wa wanawake katika shughuli za ujasiriamali nchini zimeku zikichangia…

Continue Reading....

Pinda achangisha milioni 111.6 kanisani

Posted on: October 30, 2011 - jomushi
Pinda achangisha milioni 111.6 kanisani

*Simu ya sh. 60,000 yachangisha sh. 522,000 SIMU ya Nokia aina ya NOKIA 2600 ya Leonard Kapinga (37) mkazi wa Msasani leo mchana (Jumapili, Oktoba…

Continue Reading....

UNIFEM yawataka Wanawake kutumia nafasi zao

Posted on: October 30, 2011 - jomushi
UNIFEM yawataka Wanawake kutumia nafasi zao

Na Anna Nkinda- Perth Australia WANAWAKE wametakiwa kutumia nafasi zinazotolewa na Mfuko wa Umoja wa Mataifa kwaajili ya Maendeleo ya Wanawake (UNIFEM), katika kujiletea maendeleo…

Continue Reading....

Jumuiya Ya Watanzania Kusini Mwa California Yakutana!

Posted on: October 30, 2011October 30, 2011 - Rungwe Jr.
Jumuiya Ya Watanzania Kusini Mwa California Yakutana!

  Na Mwandishi wetu, Los Angeles, CA JUMUIYA ya Watanzania kunisi mwa California ilikutana siku ya Jumamosi jijini Culver City na kujadili masuala mbalimbali kwa maendeleo ya…

Continue Reading....

Kenya wagoma kuzungumza na Al-Shaabab

Posted on: October 30, 2011 - jomushi
Kenya wagoma kuzungumza na Al-Shaabab

SERIKALI ya Kenya imesema haiwezi kufanya mazungumzo na kundi la wapiganaji la Al-Shaabab. Akizungumza nchini Kenya, wizara ya ulinzi, katibu katika wizara ya usalama wa…

Continue Reading....

Uingereza yaipiga ‘nyundo’ Serikali ya Tanzania

Posted on: October 30, 2011October 30, 2011 - jomushi
Uingereza yaipiga ‘nyundo’ Serikali ya Tanzania

YATOA ASILIMIA 30 KWENYE FUNGU LA BAJETI SERIKALI ya Tanzania imepata pigo kiuchumi baada ya Uingereza kupunguza msaada wake katika fungu la bajeti kwa mwaka…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari