Na Mwandishi Maalumu KITUO cha wasiojiweza cha Kimbangulile Support Group kimesema kinahitaji jengo kwa ajili ya ofisi na darasa kwani kwa muda wa miezi sita…
Continue Reading....Category: Habari za Nyumbani
CCM inateswa na gamba, kura za maoni
BAADHI ya wenyeviti wa mikoa wamesema kura za maoni za Uchaguzi Mkuu wa mwaka jana na mchakato wa kujivua gamba, ndiyo umekuwa ukitesa chama hicho…
Continue Reading....JK amteua Mkurugenzi Mtendaji wa TASAF
Na Mwandishi Wetu RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete, jana amemteua Ladislaus Mwamanga kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Maendeleo ya…
Continue Reading....Vodacom yawekeza mil. 90 kwa shule 20 za msingi Dar es Salaam
*Yakabidhi madawati 225 kwa shule 5 za Ilala, Kinondoni TATIZO la uhaba wa madawati kwa shule anuai za msingi nchini ambalo limekuwa kero kubwa na…
Continue Reading....Wanahabari Zanzibar kufundishwa sheria za ukatili kijinsia
Na Gurnam Ajit-TAMWA WANAHABARI 20 kutoka Zanzibar Novemba Mosi, 2011 wanatarajiwa kufundishwa namna ya kuzichambua sheria zinazohusu masuala ya Ukatili wa Kijinsia (GBV) ili kukuza…
Continue Reading....Mbunge Lema, wenzake waswekwa ‘lupango’
Na Janeth Mushi, Arusha MBUNGE wa Jimbo la Arusha Mjini kupitia CHADEMA, Godbless Lema na wafuasi wenzake 11 wamesweka rumande baada ya kushindwa kutimiza masharti…
Continue Reading....