Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 1,107

Category: Habari za Nyumbani

Profesa Mwandosya atoboa siri ya afya yake

Posted on: December 4, 2011 - jomushi
Profesa Mwandosya atoboa siri ya afya yake

Na Magreth Kinabo, Maelezo na Bujo Ambosisye (MoW) WAZIRI wa Maji, Profesa Mark Mwandosya ambaye alikuwa amelazwa Hospitali ya Apollo, nchini India, amesema hajawahi kuugua…

Continue Reading....

Mwanahabari Alfred Ngotezi afariki

Posted on: December 4, 2011December 4, 2011 - admin
Post Tags: kifo, mwanahabari, ngotezi

TASNIA ya habari Tanzania imepata pigo kubwa baada ya jana kundokewa na mwandishi wa habari mkongwe, Alfred Ngotezi. Taarifa zilizopatikana jana usiku zinaeleza kuwa Ngotezi,…

Continue Reading....

Tanzania chup chup kutolewa Tusker Chalenji

Posted on: December 3, 2011 - jomushi
Tanzania chup chup kutolewa Tusker Chalenji

Na Joachim Mushi TIMU ya Taifa ya Tanzania Bara (Kilimanjaro Stars) hatimaye imefanikiwa kuendelea ki-bahati nasibu na hatua ya pili katika Mashindano ya Kombe la…

Continue Reading....

Prof. Mwandosya atoa shukrani kwa waliomuombea

Posted on: December 3, 2011 - jomushi
Prof. Mwandosya atoa shukrani kwa waliomuombea

Continue Reading....

Maadhimisho ya Miaka 50 ya Uhuru; Sheria Kali zaidi yaja kuwakaba koo wafanyabiashara wanaotumia vipimo visivyo sahihi

Posted on: December 3, 2011 - jomushi
Maadhimisho ya Miaka 50 ya Uhuru; Sheria Kali zaidi yaja kuwakaba koo wafanyabiashara wanaotumia vipimo visivyo sahihi

Na Mwandishi Wetu Sabasaba WIZARA ya Viwanda na Biashara imesema mchakato wa marekebisho sheria ya vipimo unaendelea kwa lengo la kutoa adhabu kali kwa wafanyabiashara…

Continue Reading....

Rais Kikwete amkumbuka marehemu Wakati

Posted on: December 2, 2011 - jomushi
Rais Kikwete amkumbuka marehemu Wakati

Na Mwandishi Wetu RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete ametuma salamu za rambirambi kwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC),…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari