Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 1,104

Category: Habari za Nyumbani

Polisi wawili watiwa mbaroni kwa kumpa kichapo Diwani

Posted on: December 6, 2011 - Rungwe Jr.
Polisi wawili watiwa mbaroni kwa kumpa kichapo Diwani

Askari Polisi wawili wa kituo cha Mgeta wilayani Mvomero mkoani Morogoro, wametiwa mbaroni kwa tuhuma za kumpiga Diwani wa Kata ya Kiteo, Exavery Msambara, kwa…

Continue Reading....

Maambukizi ya VVU Jiji la Tanga yanatisha

Posted on: December 6, 2011December 6, 2011 - Rungwe Jr.
Maambukizi ya VVU Jiji la Tanga yanatisha

Kiwango cha maambukizi ya Virusi vya Ukimwi (VVU) katika Halmashauri ya Jiji la Tanga kimeongezeka kwa asilimia 8.7 zaidi ya kile cha kitaifa cha asilimia…

Continue Reading....

Zanzibar, Burundi wafungasha virago Tusker Chalenji

Posted on: December 5, 2011 - jomushi
Zanzibar, Burundi wafungasha virago Tusker Chalenji

*Sudan, Rwanda wakata tiketi Nusu Fainali Na Mwandishi Wetu WAKATI timu za taifa za Sudan na Rwanda zikikata tiketi za kuingia Nusu Fainali ya Mashindano…

Continue Reading....

Dk. Shein akabidhiwa ripoti ya uchunguzi Mv. Spice Islander

Posted on: December 5, 2011December 5, 2011 - jomushi
Dk. Shein akabidhiwa ripoti ya uchunguzi Mv. Spice Islander

Na Rajab Mkasaba, Ikulu Zanzibar. RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, jana amekabidhiwa ripoti ya kuzama kwa Meli…

Continue Reading....

Mr Ebbo azikwa na maelfu ya waombolezaji

Posted on: December 5, 2011December 5, 2011 - jomushi
Mr Ebbo azikwa na maelfu ya waombolezaji

Na Janeth Mushi, Arusha NAIBU Waziri wa Ardhi Nyumba Maendeleo na Makazi, Goodluck Ole Medeye, jana ameongoza maelfu ya waombolezaji toka maeneo anuai nchini katika…

Continue Reading....

JK atuma salamu za rambirambi NSSF

Posted on: December 5, 2011December 5, 2011 - jomushi
JK atuma salamu za rambirambi NSSF

Na Mwandishi Wetu RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Kikwete amemtumia salamu za rambirambi Mkurugenzi wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari