Mwakilishi mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini Tanzania Alberic Kacou akitoa ujumbe wa umoja wa mataifa kuhusu masuala mbalimbali yakiwemo ongezeko la idadi ya watu,…
Continue Reading....Category: Habari za Nyumbani
Dk. Shein ataka SUZA ibadilike kimaendeleo
Na Rajab Mkasaba, Ikulu Zanzibar RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein amefanya mazungumzo na Wajumbe wa Baraza na…
Continue Reading....TAFFA kuondoa urasimu bandarini
Na Mwandishi Wetu CHAMA cha Mawakala wa Forodha Tanzania (TAFFA) kinacho shughulikia shehena zote zinazo ingia na kutoka nchini kwa njia ya bandari, anga na…
Continue Reading....Asilimia 44 ya wanawake hunyanyaswa kijinsia- Waziri
Na Mwandishi Wetu WAZIRI wa Sheria na Katiba Tanzania, Celina Kombani amesema kwa mujibu wa tafiti mbalimbali zilizoendeshwa zimebaini kuwa asilimia 44 ya wanawake nchini…
Continue Reading....Mweka Hazina Wilaya ya Monduli atuhumiwa kwa ‘ufisadi’
Na Mwandishi Wetu, Arusha JESHI la Polisi mkoani hapa linamshikilia Mweka Hazina wa Halmashauri ya Wilaya ya Monduli, Julius Masheri pamoja na Mkuu wa Usafirishaji…
Continue Reading....Kimiti awataka Watanzania kutembelea Maonesho ya Miaka 50 ya Uhuru
Na Tiganya Vincent, MAELEZO-Dar es Salaam MWANASIASA nguli na Mbunge wa Sumbawanga Mjini, Paul Kimiti amewataka Watanzania kutembelea Maonyesho ya Miaka 50 ya Uhuru wa…
Continue Reading....