Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 1,097

Category: Habari za Nyumbani

Miaka 50 ya Uhuru, Ubalozi wa Tanzania wafanya kweli Ujerumani

Posted on: December 13, 2011December 14, 2011 - jomushi
Miaka 50 ya Uhuru, Ubalozi wa Tanzania wafanya kweli Ujerumani

*Ngoma Africa Band wawakivutio kwa waheshimiwa DESEMBA 9 na 10, 2011 Watanzania waishio Ujerumani na nchi jirani wakishirikiana na Ubalozi wa Tanzania nchini Ujerumani, walijikuta…

Continue Reading....

Kilimanjaro watakiwa kutumia fursa kujiletea maendeleo

Posted on: December 13, 2011 - jomushi
Kilimanjaro watakiwa kutumia fursa kujiletea maendeleo

Na Aron Msigwa – MAELEZO WANANCHI wa Mkoa Kilimanjaro wametakiwa kutumia fursa zilizopo katika mkoa huo ukiwemo Mlima Kilimanjaro, Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa…

Continue Reading....

Rais Kikwete afanya mazungumzo na Benki ya AfDB

Posted on: December 13, 2011 - jomushi
Rais Kikwete afanya mazungumzo na Benki ya AfDB

Na Mwandishi Maalumu RAIS Jakaya Kikwete leo katika Ikulu ya Dar es Salaam amekutana na kufanya mazungumzo na Mwakilishi kazi wa Benki ya Maendeleo ya…

Continue Reading....

Spika Makinda akacha mjadala wa posho

Posted on: December 13, 2011 - jomushi
Spika Makinda akacha mjadala wa posho

*Alialikwa na Channel Ten, Awaambia kama ni kuhusu posho ‘siji’, Wengi waponda, CAG kufanya uchunguzi SAKATA la posho za wabunge limezidi kuingia katika sura mpya,…

Continue Reading....

Rais Kabila akanusha kuiba kura DRC

Posted on: December 12, 2011 - jomushi
Rais Kabila akanusha kuiba kura DRC

RAIS wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Joseph Kabila amekanusha vikali madai ya kwamba alishinda uchaguzi wa nchi hiyo kupitia wizi wa kura. Waangalizi kutoka…

Continue Reading....

Pinda ataka wakuu wa mikoa, wilaya kujipanga uboreshaji kilimo

Posted on: December 12, 2011December 12, 2011 - jomushi
Pinda ataka wakuu wa mikoa, wilaya kujipanga uboreshaji kilimo

Na Joachim Mushi WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Mizengo Pinda amewataka wakuu wa mikoa na wilaya kuhakikisha wanasimamina vizuri suala la kilimo ili kuleta mapinduzi kama…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari