Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 1,096

Category: Habari za Nyumbani

Rais Kikwete akiwa katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Umoja wa Nchi za Maziwa Makuu (ICGLR)

Posted on: December 15, 2011December 15, 2011 - jomushi
Rais Kikwete akiwa katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Umoja wa Nchi za Maziwa Makuu (ICGLR)

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete, Desemba 15, 2011 ameungana na viongozi wenzake wa nchi wanachama wa Umoja wa Nchi za Maziwa…

Continue Reading....

Rais Kikwete aenda Uganda kuhudhuria mkutano wa ICGLR

Posted on: December 15, 2011 - jomushi
Rais Kikwete aenda Uganda kuhudhuria mkutano wa ICGLR

Na Mwandishi Wetu RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete ameondoka nchini leo, Desemba 15, 2011, kwenda Kampala, Uganda ambako ataungana na viongozi…

Continue Reading....

Matokeo STD VII yatangazwa, watahiniwa 567,567 wafaulu, 9,736 wafutiwa matokeo

Posted on: December 14, 2011 - jomushi
Matokeo STD VII yatangazwa, watahiniwa 567,567 wafaulu, 9,736 wafutiwa matokeo

Na Gradys Sigera na Magreth Kinabo – MAELEZO JUMLA ya wanafunzi 567,567 wamefaulu Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi Mwaka 2011, na sasa watafanyiwa mtihani…

Continue Reading....

Serikali kusitisha uuzaji wanyamapori hai

Posted on: December 14, 2011 - jomushi
Serikali kusitisha uuzaji wanyamapori hai

Na Bebi Kapenya – MAELEZO SERIKALI imepiga marufuku ukamataji, uingizaji na usafirishaji wa wanyamapori hai isipokuwa kwa wadudu, ikiwa ni amri ya katazo juu ya…

Continue Reading....

Government will not tolerate losses through procurement-PM Pinda

Posted on: December 14, 2011 - jomushi
Government will not tolerate losses through procurement-PM Pinda

PRIME Minister, Mizengo Pinda has the Government will no longer tolerate losses incurred in local councils, other public institutions and private sector through malpractices that…

Continue Reading....

TFDA wazindua maabara ya kimtandao ya ubora wa bidhaa

Posted on: December 13, 2011 - jomushi
TFDA wazindua maabara ya kimtandao ya ubora wa bidhaa

Na Mwandishi Wetu MAMLAKA ya Chakula na Dawa nchini (TFDA) imezindua mradi wa kimtandao utakaofanya kazi ya kudhibiti na kulinda ubora wa vifaa anuai kwenye…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari