Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 1,091

Category: Habari za Nyumbani

Rais Kikwete aguswa na maafa ya Dar es Salaam

Posted on: December 22, 2011 - jomushi
Rais Kikwete aguswa na maafa ya Dar es Salaam

Na Mwandishi Wetu RAIS wa Tanzania, Jakaya Kikwete amemtumia salamu za rambirambi Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadiq kuomboleza vifo vya…

Continue Reading....

Dk Shein aipa changamoto Wizara ya Miundombinu

Posted on: December 22, 2011December 22, 2011 - jomushi
Dk Shein aipa changamoto Wizara ya Miundombinu

Na Rajab Mkasaba, Pemba RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ameutaka uongozi wa Wizara ya Miundombinu na Mawasiliano…

Continue Reading....

JE, WATAKA KUWASAIDIA WATANZANIA WENZETU WALIYOATHIRIWA NA MAFURIKO YA JIJI LA DAR ES SALAAM?

Posted on: December 22, 2011December 22, 2011 - jomushi
JE, WATAKA KUWASAIDIA WATANZANIA WENZETU WALIYOATHIRIWA NA MAFURIKO YA JIJI LA DAR ES SALAAM?

Ungana na Tanzania Professionals Network (TPN) kufanya hivyo kwa kuwasaidia walioathirika na mvua DSM kipindi hiki cha Siku Kuu za mwisho wa mwaka. Naomba nichukue…

Continue Reading....

Picha za matukio ya mafuriko Dar es Salaam

Posted on: December 22, 2011 - jomushi
Picha za matukio ya mafuriko Dar es Salaam

Continue Reading....

Kafulila, wenzake hawajapewa barua kuvuliwa uanachama NCCR

Posted on: December 22, 2011December 22, 2011 - Rungwe Jr.
Kafulila, wenzake hawajapewa barua kuvuliwa uanachama NCCR

UONGOZI wa NCCR-Mageuzi umeshikwa ghafla na kigugumizi baada ya hadi sasa kushindwa kumpa barua Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila, na wenzake watatu, kuthibitisha uamuzi…

Continue Reading....

Maafa makubwa Dar, haijawahi tokea; Watu, nyumba zasombwa na mafuriko

Posted on: December 21, 2011December 21, 2011 - jomushi
Maafa makubwa Dar, haijawahi tokea; Watu, nyumba zasombwa na mafuriko

Na Joachim Mushi MVUA kubwa imeendelea kunyesha maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam na kusababisha maafa makubwa. Taarifa zinaeleza watu zaidi ya nane…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari