TANZANIA imeridhia kujiunga na Mpango wa Uendeshaji wa Shughuli za Serikali kwa Uwazi (Open Government Partnership – OGP). Mpango huu ni juhudi za kimatifa katika…
Continue Reading....Category: Habari za Nyumbani
Mkapa asema viwanda ni muhimu kwa maendeleo ya EAC
Na Nicodemus Ikonko, EANA RAIS mstaafu wa awamu ya pili wa Tanzania, Benjamin Mkapa, amesema kwamba iwapo Afrika Mashariki imepania kuleta maendeleo katika kanda hiyo,…
Continue Reading....‘Lema alishawishi achaguliwe aitoe Serikali ya Majambazi’
Na Mwandishi Wetu, Arusha HAPPY Kivuyo ambaye ni shahidi wa tatu kesi namba 13 ya 2010 ya kupinga matokeo ya ushindi Mbunge wa Arusha Mjini,…
Continue Reading....Sudan Kusini yafafanua usafirishaji mafuta
Na Mwandishi Wetu TAIFA la Sudan Kusini limetoa ufafanuzi juu ya hatua yake ya kusitisha uzalishaji mafuta na mpango wa nchi hiyo wa kusafirisha shehena…
Continue Reading....Shahidi ‘amchoma’ Lema mahakamani
Na Mwandishi wetu, Arusha SHAHIDI wa pili wa upande wa walalamikaji katika shauri la kupinga matokeo ya uchaguzi wa Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema…
Continue Reading....