Category: Habari za Nyumbani
Matukio katika ziara ya mtandao wa dev.kisakuzi.com kuangalia huduma za msingi kwa watu wenye ulemavu na uenezwaji wa taarifa juu ya Mkataba wa Kimataifa wa Haki za Walemavu wilayani Arumeru kwa ufadhili wa ICD
*Ziara ya mtandao wa dev.kisakuzi.com mkoani Arusha kuangalia huduma za msingi kwa watu wenye ulemavu wilayani Arumeru kwa ufadhili wa Kituo cha Habari Kuhusu Ulemavu…
Continue Reading....Wanafunzi walemavu wapimwe kiupekee – Walimu
Na Joachim Mushi, dev.kisakuzi.com-Arumeru BAADHI ya walimu wa wanafunzi wenye ulemavu anuai wilayani hapa wameitaka Serikali kuacha utaratibu wa kuwataini wanafunzi wenye ulemavu katika mitihani…
Continue Reading....JK ataka mapendekezo wajumbe Tume ya Kuratibu maoni ya Katiba
Na Mwandishi Maalumu RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete Februari 29, 2012, ametangaza kuwa ametoa mwaliko kwa wadau mbalimbali kuwasilisha majina…
Continue Reading....Chadema wamchagua Nassari Arumeru
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimemchagua Joshua Nassari kupeperusha yake katika uchaguzi mdogo wa Jimbo la Arumeru Mashariki, utakaofanyika Aprili Mosi, mwaka huu. Akitangaza…
Continue Reading....Ushirikiano na UN unamchango mkubwa kimaendeleo-Dk Shein
Na Rajab Mkasaba, Ikulu Zanzibar RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein amesema ushirika uliopo kati ya Umoja wa…
Continue Reading....