Na Mwandishi Maalumu SERIKALI imetoa matangazo rasmi ya Serikali (Government Notices) kuhusu uanzishaji wa mikoa mipya minne na wilaya mpya 19 ambayo yamechapishwa tangu Machi…
Continue Reading....Category: Habari za Nyumbani
Mgomo wa madaktari wawatesa wagonjwa Dar
Na Mwandishi Wetu MGOMO wa madaktari nchini uliendelea jana jijini Dar es Salaam huku wananchi wakilalamikia ukosefu wa huduma za matibabu katika hospitali mbalimbali hivyo…
Continue Reading....Chadema wadai CCM imeanza rafu Arumeru
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesema kuwa kinaandika barua ya malalamiko kwa Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Arumeru Mashariki, Trasias Kagenzi, dhidi ya Meneja…
Continue Reading....Kesi ya Hamad Rashid dhidi ya CUF yapaishwa
Muda wa kumalizika kwa kesi ya kupinga kuvuliwa uanachama iliyofunguliwa na Mbunge wa Wawi, Hamad Rashid Mohamed, na wenzake 10 dhidi ya Chama Cha Wananchi…
Continue Reading....