Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 1,022

Category: Habari za Nyumbani

China sasa kudhibiti bidhaa feki

Posted on: March 10, 2012 - jomushi
China sasa kudhibiti bidhaa feki

Na Aron Msigwa – MAELEZO SERIKALI ya Jamhuri ya Watu wa China kwa kushirikiana na Wizara ya Biashara ya nchi hiyo imeandaa maonesho makubwa ya…

Continue Reading....

Mshindi wa tuzo ya Mwanamakuka apatikana

Posted on: March 10, 2012 - jomushi
Mshindi wa tuzo ya Mwanamakuka apatikana

Continue Reading....

JK kuzungumza leo na wazee Dar es Salaam

Posted on: March 10, 2012 - jomushi
JK kuzungumza leo na wazee Dar es Salaam

Na Mwandishi Maalum MKUTANO wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete na wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam uliopangwa kufanyika…

Continue Reading....

Dk. Sezibera aunga mkono masuala ya Jinsia kwa maendeleo endelevu

Posted on: March 9, 2012 - jomushi
Dk. Sezibera aunga mkono masuala ya Jinsia kwa maendeleo endelevu

Na Nicodemus Ikonko, EANA KATIBU Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Dk. Richard Sezibera amesisitiza umuhimu wa jamii kuheshimu masuala ya njinsia na kuonya…

Continue Reading....

Serikali itekeleze kwa vitendo mkataba wa haki za watu wenye ulemavu

Posted on: March 9, 2012 - jomushi
Serikali itekeleze kwa vitendo mkataba wa haki za watu wenye ulemavu

Na Joachim Mushi, dev.kisakuzi.com-Arumeru BAADHI ya waenezi wa Mkataba wa Haki za Watu wenye Ulemavu na wafanyakazi walemavu wilayani hapa wameitaka Serikali kuonesha kwa vitendo…

Continue Reading....

RC Dar asema wamejipanga kukabiliana na mgomo wa madaktari

Posted on: March 9, 2012 - jomushi
RC Dar asema wamejipanga kukabiliana na mgomo wa madaktari

Na Magreth Kinabo – MAELEZO SERIKALI imesema imejipanga vizuri ili kukabiliana na mgomo wa madaktari unaoendelea katika baadhi ya hospitali za Jiji la Dar es…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari