Mgombea ubunge wa Jimbo la Chalinze Bw. Ridhiwani Kikwete akisalimiana na wananchi baada ya kuwasili katika ya Fukayose jimbo la Chalinze wakati alipoendelea na mikutano…
Continue Reading....Author: jomushi
Wakazi Mil. 20 EAC Wakabiliwa na Umasikini Sugu
Na Ronald Ndungi, EANA, Arusha JUMUIYA ya Afrika Mashariki (EAC) ina jumla ya wakazi zaidi ya milioni 20 wanaokabiliwa na umasikini sugu, watafiti wamebainisha mwishoni…
Continue Reading....Zitto Kabwe – Tuboreshe Rasimu Iliyopo
Na Zitto Kabwe, MB WIKI ya Machi 18 – 22, 2014 ilianza kwa siku ya Jumanne Mwenyekiti wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba…
Continue Reading....Wanafunzi wa Kike CBE Waanzisha Mfuko Kumkomboa Mwanamke
Na Aron Msigwa – MAELEZO WANAFUNZI wanawake wa Chuo cha Elimu ya Biashara Dar es Salaam (CBE) wamezindua mchakato wa kuanzisha mfuko wa Jumuiya ya…
Continue Reading....HOTUBA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHESHIMIWA JAKAYA MRISHO KIKWETE, WAKATI WA KULIHUTUBIA BUNGE MAALUM LA KATIBA, TAREHE 21 MACHI, 2014, DODOMA
HOTUBA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHESHIMIWA JAKAYA MRISHO KIKWETE, WAKATI WA KULIHUTUBIA BUNGE MAALUM LA KATIBA, TAREHE 21 MACHI, 2014, DODOMA…
Continue Reading....Rais Kikwete Aipinga Serikali Tatu Bungeni, Aainisha Mapungufu Yake…!
Na Joachim Mushi RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo mjini Dodoma amelihutubia Bunge Maalum la Katiba na kulizinduwa rasmi, huku akionekana wazi wazi…
Continue Reading....