Na. Aron Msigwa – MAELEZO. Dar es salaam. Serikali imetoa wito kwa waandishi wa habari kuzingatia weledi taaluma ya habari wanapotekeleza majukumu yao ili kuepuka…
Continue Reading....Author: jomushi
Wazee wa CCM Wampongeza JK
Wazee wa Baraza la Chama Cha Mapinduzi Zanzibar wamempongeza na kumshukuru Rais Jakaya Mrisho Kikwete kwa ufafanuzi na kuunga mkono hotuba yake kwa Bunge la…
Continue Reading....Watuhumiwa wa Bidhaa feeki Wafikishwa Kortini Moshi
MAHAKAMA ya hakimu mkazi Moshi, leo imefurika mamia ya wananchi waliokwenda kushuhudia watuhumiwa wa utengenezaji wa konyagi feki na bidhaa nyingine mbalimbali na kuzibandika nembo…
Continue Reading....Tengenezeni Bidhaa Ambazo Soko Lake Linapatikana Kirahisi -Mama Salma Kikwete
Na Anna Nkinda – Maelezo Wanawake wajasiriamali nchini wametakiwa kutengeneza bidhaa ambazo zinahitajika kwa wingi na watumiaji na kuacha kung’ang’ania kutengeneza bidhaa ambazo soko lake…
Continue Reading....Tatu Bora ya Waigizaji Wapatikana Mwanza
Janneth Emmanuel (kushoto), Cresenciah Herman (katikati) na Joshua Wambura Stanslaus ambao ndio washindi wa Shindano la kusaka vipaji vya kuigiza Tanzania lijulikanalo kama Tanzania Movie Talents wakiwa…
Continue Reading....Rais Kikwete Achaguliwa Kiongozi Bora Afrika
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete amechaguliwa kuwa Kiongozi Mwenye Mchango Mkubwa Zaidi katika Maendeleo Barani Afrika kwa mwaka 2013 .…
Continue Reading....