Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 888

Author: jomushi

Rais Kikwete Atoa Rambirambi Vifo vya Wananchi na DC Kalambo

Posted on: April 22, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, Kifo DC
Rais Kikwete Atoa Rambirambi Vifo vya Wananchi na DC Kalambo

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia salamu za rambirambi Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Paschal Mabiti, kuomboleza vifo vya watu…

Continue Reading....

Viingilio Kuziona Taifa Stars na Burundi Shs 5,000

Posted on: April 22, 2014 - jomushi
Viingilio Kuziona Taifa Stars na Burundi Shs 5,000

VIINGILIO cha chini katika mechi ya kirafiki ya kimataifa kati ya timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) na Burundi (Intamba Mu Rugamba) itakayochezwa Aprili…

Continue Reading....

Mkutano wa 28 wa NIMR Waanza Leo Jijini Dar es Salaam

Posted on: April 22, 2014 - jomushi
Mkutano wa 28 wa NIMR Waanza Leo Jijini Dar es Salaam

Mkutano wa 28 wa Taasisi ya Taifa ya utafiti wa Magonjwa ya Binadamu Tanzania (NIMR) umeanza leo jijini Dar es Salaam na kufanyika kwa siku tatu…

Continue Reading....

Samuel Sitta Aifuata UKAWA Zanzibar

Posted on: April 22, 2014 - jomushi
Samuel Sitta Aifuata UKAWA Zanzibar

WAKATI viongozi wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) wakiweka kambi Zanzibar, Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta jana naye alitumia siku nzima…

Continue Reading....

Basi Lagonga Nyumba Lapinduka, 11 Wafariki Dunia, 44 Wajeruhiwa

Posted on: April 22, 2014 - jomushi
Post Tags: ajali, featured
Basi Lagonga Nyumba Lapinduka, 11 Wafariki Dunia, 44 Wajeruhiwa

WATU 10 wamekufa papo hapo na mwingine kupoteza maisha alipokuwa akipelekwa hospitali baada ya basi walilokuwa wakisafiria kupata ajali mkoani Simiyu. Ajali hiyo ilitokea eneo…

Continue Reading....

Ni Pasaka ya Katiba…!

Posted on: April 21, 2014April 21, 2014 - jomushi
Ni Pasaka ya Katiba…!

PASAKA YA KATIBA “Sote tuwe na umoja” (Yn. 17:21) NIMESOMA kwa kina Tamko la Maaskofu Thelathini na Wawili wa Kanisa Katoliki Tanzania. Pia nimepitia taarifa…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari